MUGALU: Persona non grata

swali na unafungwa na umechezaje?
Turudi pale pale. Chama alikuwa mpaka abebwe na wenzie au alikuwa anabeba team yeye mwenyewe? Tena kwenye nyakati ngumu..

Sasa huyu mariaroza unadai anaangushwa na wenzie means anabebwa tena kiungo?
Umeangalia possession, simba leo kaposses mpira kuliko Yanga. Asilimia 54 kwa 46

Hata nafasi za kufunga katengeneza nyingi tu.
 
Umeangalia possession, simba leo kaposses mpira kuliko Yanga. Asilimia 54 kwa 46

Hata nafasi za kufunga katengeneza nyingi tu.
halafu mwisho wa mechi ikawaje? Naskia mmeshinda?😀😀😀
 
Ndio nakwambia tatizo sio Chama, maana tushafungwa mara nyingi tu na chama akiwemo.

Hueleweki hata unaongea nini
huwa Najua sana kuwatibua wapumbavu kama wewe mnaoangalia mpira kwenye redio.

Siku nyingine usiongee upumbavu.
Position na ushindi kipi kinachotakiwa?
 
Allora, pensi quel sarà la soluzione di tutti I vostri problemi
 
Mugalu kazoea kufunga magoali mepesi sasa kipindi iki wapikaji magoal akuna lazima apoteane
 
Kilichotokea ni matokeo tu ya mpira.Angeshinda simba mashabiki wa Yanga wangekuja uku kupondea wachezaji wao,kashinda yanga mashabiki wa simba mmekuja kama kawaida.Timu zote zimecheza vizuri mengine ni matokeo tu na mwalimu atayafanyia kazi.huyo mugalu mbona unamuhukumu kisa kashindwa kufunga ina maana hakunaga mechi alizunga?. kila mchezaji ana siku mbaya uwanjani.Subiri ligi ianze walimu watajua wapi pakurekebisha.
 
Tafadhalini sana tuondoleeni huyu mcheza striker mkabaji na mcheza off side kila wakati kwenye club yetu kwani kazi ya kufunga magoli iliisha mshinda siku nyingi. Kiwango hana na hastahili kuchezea timu kama Simba.
U are very right!!! Nimesikitishwa sana na kiwango cha jamaa aisee
 
Msianze kutafuta mchawi Makolo fc, kinachoendelea kuwatesa ni pengo la chama na mixon, huyo kanute na banda bado saaana
Miqeson na Chama walipokuwepo kila mechi Simba ilikuwa inashinda?
 
Taja mbinu aliyoikariri hapa kama una mbinu unazifahamu
 
Lwangaaa ni mchezaji wa hovyo hovyo siku zote.
Mtu wa kucheza rafu sanaaa maviwiko kwa sana ila konoute watani yule ni mchezaji nakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…