Ukitazama hata mechi ya mazembe tulikufa sabab ya uzembe wake .
Ifike wakat Simba wakubali kuwa Mugalu na boko wamechoka .
Kibu Denis atafutiwe pacha maisha yaendelee .
Alafu kocha nae aache kukariri Ana mbinu za mwaka Jana tayar washamsoma abadir mfumo pia aache kukariri kuchezesha wachezaj wale wale.
Nikiri tu waz mm ni Simba damu Ila kwa huu msimu Simba kubeba ubingwa wajipange Sana Tena sana ,yanga safar hii Wana timu nzur hasa ile pacha ya bangala na aucho plus fei italeta shida Sana kwa timu nyingi.
Pia yanga wamepata mtu sahihi wa kumalizia yule mayele namwona akitupia Sana huu msimu.
Tadeo lwanga kwa mpira ule huu msimu kadi zitamhusu Sana .
Kanoute ni mtu Sana yule Ila waswas wangu upo kwa lwanga pale katikat anacheza Sana faulo .
Mugalu Mugalu Mugalu hapana aisee kila cku yeye tu jaman ,hapana nasema Bora aje okwi kuziba nafas yake.