Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
حَدَّثَنَا مُسَدَّدٌ، حَدَّثَنَا يَزِيدُ بْنُ زُرَيْعٍ، حَدَّثَنَا سَعِيدٌ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ أَنَّ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم كَانَ يَطُوفُ عَلَى نِسَائِهِ فِي لَيْلَةٍ وَاحِدَةٍ، وَلَهُ تِسْعُ نِسْوَةٍ
Anas (RA) amesema: "Mtume (ﷺ) alikuwa akizunguka kwa wake zake wote katika usiku mmoja, na alikuwa na wake tisa."
Wanauza hadi dawa za kukata maunoSasa hapa naweza kuunga dots kwanini wauza alkasusu mujarabu na dawa za heshima ya ndoa ni wa upande ule..
Kama mudi alimiliki mbususu 9, huu mfumo wa wake wanne maximum kwa timu kobaz walitoa wapi??Muhamad alikuwa kwa usiku mmoja anafanya mapenzi na wake zake wote 9
Msifanye dhihaka na dini 🥹