Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
βMtume wa Mwenyezi Mungu alichukua Safiya (bint Huyayy) kama mke wake. Aliwapa watu karamu ya harusi ambapo hakutoa chochote isipokuwa tende na samli (mafuta ya wanyama).β
Kabisa na Mungu akakataa Daudi asijenge hekalu lake sababu amejawa damu za watu. Na alipewa adhabu kwa kosa hilo la kihuni na kimalaya.Ni kama kisa cha daudi tu alivyo muua mume wa abigaili nakumwoa abigaili , au alivyo muua uria mhiti na kujichukulia bathsheba.
Ha ha ha..... Alimuua kweli jamaa wangebisha kama si kweliMbona haioneshi alimuua mumewe?
Takbir! π
Kumbe Mungu huku kakaza kule kalegeza sasa ni maamuzi yake yeye sioni cha kujisumbua kuhojiKabisa na Mungu akakataa Daudi asijenge hekalu lake sababu amejawa damu za watu. Na alipewa adhabu kwa kosa hilo la kihuni na kimalaya.
Sasa wao wasiposujudu wewe ina kuathiri vipi na wao ni wakristo? Wakikata mauno au wakipita disco kwa imani yao shida kwako inatoka wapi? Ni sawa wao waje waulize kwa nini muddy alibaka kitoto au waislamu mnaudugu na majini. Mi huwa nawaaambia kila mtu ana uhuru wa kuchagua ndugu zake.Kwa nini wakiristo hamsujudu na nani aliwaamrisha kupiga disco kanisani na kukata mauno ?
Kwanini unalinganisha Daudi na Muhammad?Ni kama kisa cha daudi tu alivyo muua mume wa abigaili nakumwoa abigaili , au alivyo muua uria mhiti na kujichukulia bathsheba.
@Moderator nyuzi kama hizi hamuezi kuziguza kwasbb zinadhalilisha Uisalamu zingekua zina gusa RC mnafuta au kuzihamisha mara moja, acheni kua na upande wa kidini tunawategemea muwe neutral......ni aibu uZi kama hu kua hapo ulipoNaendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.
Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.
Sahih al-Bukhari
Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:
(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)
Kama wote ni wanadamu na walikua wanakula na kutoa uchafu kwa nini wasiwe sawa?Kwanini unalinganisha Daudi na Muhammad?
Unataka kusema daud na Muhammad wako sawasawa?
@!Maxence Melo tunaomba fair play kwa wote kwanini nyuzi zinazo dhalilisha uislamu zinaachwa licha yakua ni uongo, ila zinavo gusa dhehebu la RC zinafutwa haraka jana nilileta Uzi na picha yake kuhusu mazisahi ya Papa wakati wana vuta mnyorororo jamba ambao ni kweli lilifanywa niliomba tu wenZetu watufafanulie tamaduni gani hiyo, walivo shindwa mkafuta huo uzi, sie waislamu tuna kosa gani hapa jf.Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.
Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.
Sahih al-Bukhari
Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:
(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)
Achana na Mambo ya kunya, hapa tunaongelea udini.Kama wote ni wanadamu na walikua wanakula na kutoa uchafu kwa nini wasiwe sawa?
Mambo ya dini mimi sipo huko ila najaribu kumwonyesha mtoa mada mambo mengi ya hizo dini yana fanana kimantiki.Achana na Mambo ya kunya, hapa tunaongelea udini.
Hizi ni copy & paste stories. Ndo maana fatwa ilipitishwa kwa Salman Rushdie.Mambo ya dini mimi sipo huko ila najaribu kumwonyesha mtoa mada mambo mengi ya hizo dini yana fanana kimantiki.
Sure , na mda mwingine ni tamaduni za wayahudi kufanana tu na waarabu, kwa sabab wanao ukaribu mno kuliko sisi wamatumbi.Hizi ni copy & paste stories. Ndo maana fatwa ilipitishwa kwa Salman Rushdie.
Wana thiiiimbaaπ π π
Wapi uisilamu umedharirishwa bwasheee? Niambie ni wapi@!Maxence Melo tunaomba fair play kwa wote kwanini nyuzi zinazo dhalilisha uislamu zinaachwa licha yakua ni uongo, ila zinavo gusa dhehebu la RC zinafutwa haraka jana nilileta Uzi na picha yake kuhusu mazisahi ya Papa wakati wana vuta mnyorororo jamba ambao ni kweli lilifanywa niliomba tu wenZetu watufafanulie tamaduni gani hiyo, walivo shindwa mkafuta huo uzi, sie waislamu tuna kosa gani hapa jf.