The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Tulia weweeeWe bangi zinakusumbua, hivi unadhani kuna dunia nyingine zaidi ya hii tulionayo? Et fil Janat, nini?? Watu wa vitabu hamna uwezo WA kufikiri kwa akili zenu nje ya mavitabu hayo.
Jannah na firdausIslamic jihad hutengeneza silaha za maangamizi!?..hutengenezea wapi?
Katika uislam kufa ukipigania nchi ni sawa na kufa shahidi.Allah alipaswa kuwalinda watu wake
Allah hajawahi kushindwa jambo,bali Allah anatutahini na kutupa mitihani.Sasa we jamaa unajua unazingua sasa 😂😂😂!
Kwa hiyo unataka kusema alichoshindwa alaha ndiyo imamu atakiweza?
Islamic jihad ni ya Gaza!?..silaha za maangamizi ni zipi?Huko gaza
Yes ipo GazaIslamic jihad ni ya Gaza!?..silaha za maangamizi ni zipi?
Yes Islamic Jihad ni moja kati ya makundi ya kigaidi huko GazaIslamic jihad ni ya Gaza!?..silaha za maangamizi ni zipi?
Wako kwenye mashimo wamejifichaWapi Ritz? Wapi Faizafoxy? Wapi Bwana Utam?
Assasinationa ya kiongozi wa kikundi ni political victory sio strategic battle field victory hata sikumojaYes ipo Gaza
Yes Islamic Jihad ni moja kati ya makundi ya kigaidi huko Gaza
Poleni sana Mkuu, vipi aliuawa na nani?Nikikumbuka# Imamu wetu alivyouwawa kikatili kulinda, kupigania na kuutetea uislamu yani naenda chumbani kwenye kona giza nakaa na kujikunyata huku nimekunja miguu nakuzamisha kichwa kwenye magoti nakukikumbatia kwa kubana kwa mikono miwili nakuangua kilio cha hatarii.
Kipenzi chetu cha dhati alipambana sana leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.
Allah amfanyie wepes na ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.
View attachment 3059289View attachment 3059302
Waambie kuna mabomu humo yanajiripua kwa ratiba maalum!Wako kwenye mashimo wamejificha
wallah hatukubali 😇🥵🔥Sote kwa pamoja tuseme takbiiiir.
Wangekubali ceasefire mapema viongozi wao wangekuwa hai mpaka muda huu, Hamas wamechanganyikiwa huko kwenye mashimo.
Poleni sana Mkuu, vipi aliuawa na nani?
wallah hatukubali 😇🥵🔥
MaswahabaPoleni sana Mkuu, vipi aliuawa na nani?
Waache wafie humo humo na ajuza wao Faiza fox ili wamgeuze kitoweo( kama wale bikira 72)Waambie kuna mabomu humo yanajiripua kwa ratiba maalum!
Hamna kiongozi wa ugaidi atakayebaki salama including Hassan NasrallahWadau hamjamboni nyote?
IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati
Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.
IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/ kitengo cha uzalishaji wa silaha katika Ukanda wa kaskazini wa Gaza, usambazaji wa mishahara na pesa kwa magaidi wa kikundi hicho , na alishiriki kikamilifu katika jaribio la kurejesha uwezo na miundombinu ya kikundi hicho kutengeneza roketi.
Hakuna gaidi aliyehusika kuongoza su kupanga shambulizi la Oktoba 7 nchini atakayesalimika na mkono.imara wa Wana wa Yakobo
Taarifa kamili hapo chini
A senior Palestinian Islamic Jihad commander was killed in an Israeli airstrike in the Gaza Strip, the military says, as troops continue operations in Rafah and the Netzarim Corridor.
Muhammad al-Jabari was the deputy head of an Islamic Jihad weapons manufacturing unit, and responsible for the unit’s finances, according to the IDF.
The IDF says that al-Jabari “was entrusted with the organization’s production of weapons in the northern Gaza Strip, distribution of salaries and money to the organization’s terrorists, and took an active part in the attempt to restore the organization’s rocket production capabilities and infrastructure.”
Meanwhile, the IDF says that troops with the 162nd Division killed more than 30 gunmen in close-quarters combat and by calling in airstrikes in southern Gaza’s Rafah in the past day.
allah yupo busy anaanda mabikira huko peponi.Allah alipaswa kuwalinda watu wake
Siyo west bank?!Yes Islamic Jihad ni moja kati ya makundi ya kigaidi huko Gaza