Nyie ndio wachinjaji mahiri kuanzia ndege,wanyama na binadamu yaani ni mahiri kwelikweli,wenyewe mnaona sifa hadi mnayo siku spesho!wakiristo wa JF mtachinja kuku kwa wengi siku 2 hizi.
Ila jamani Israel ni namba mbaya!! Daaa, huko ndipo watu wanazitendea haki kazi zao!! Sio kwenye lile li nchi la kusadikika, wananchi wanapotea kila leo, wahusila nao wanashangaa heee inakuwaje?!! Toka lile tukio la kulipuliwa ubalozi wa USA, jamaa wanatoka US, wanamwambia mwenyeji tupeleke huku.. Niliona hapa tunalindwa na Mungu tu. Misuti mikubwa hakuna loloteeUnajijua unasakwa na IDF na mbele yake yupo marekani, unafanya fingerprint wakati unasaka passport, bado unasafiria passport, tena unatumia smartphone, unatumia email, unatumia google kusoma vitu, una account Facebook, insta na tiktok, hapo pote haujui kama jamaa wanakua wanakusoma ujinga wako wote kila dakika
Shida sio israel au marekani shida waarabu wenyewe hawaaminiani,,,,na israel na marekani ndo wanatumia huo mwanya tu.........kuna nchi za kiarabu wanajua Israel au marekani akiangushwa tu na iran awe na influence kubwa basi na wao watapinduliwa....kwahio kuna waarabu piga ua lazima wasimame na israel na marekani kwa namna yeyote ileUkiona huwawezi ungana nao..
Mwenzao Egypt alishajifunza hataki kabisa kusikia habari za kupigana na Israel maana hapo ni sawa unapigana na USA sasa jichanganye..
Huyo zaidi ya Marekani hawezi kwenda popote atanyakwa na huko anakuwa anajificha Kama panyaNgoja tumwambia Netanyahu ahamie na huku East Afrika kuna washabiki wengi wa Ugaidi.
Ndivyo uliambiwa na Nabii wako Tito?Amewahi bikra zake!! Mapema MNO
KAZI ni kipimo cha UTU
Hivi kushabikia Ugaidi huwa mnapewa Kahawa chungu Vikombe vingapi?!Huyo zaidi ya Marekani hawezi kwenda popote atanyakwa na huko anakuwa anajificha Kama panya
Hao magaidi wa Israel,walimsulubu Yesu na kumuua,wataacha kuua wengine.Wakati Yesu kwenye uislamu,anaheshimika,wao Magaidi wa Israel,wanamuita mtoto wa nje ya ndoaWadau hamjamboni nyote?
IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati
Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.
IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/ kitengo cha uzalishaji wa silaha katika Ukanda wa kaskazini wa Gaza, usambazaji wa mishahara na pesa kwa magaidi wa kikundi hicho , na alishiriki kikamilifu katika jaribio la kurejesha uwezo na miundombinu ya kikundi hicho kutengeneza roketi.
Hakuna gaidi aliyehusika kuongoza su kupanga shambulizi la Oktoba 7 nchini atakayesalimika na mkono.imara wa Wana wa Yakobo
Taarifa kamili hapo chini
A senior Palestinian Islamic Jihad commander was killed in an Israeli airstrike in the Gaza Strip, the military says, as troops continue operations in Rafah and the Netzarim Corridor.
Muhammad al-Jabari was the deputy head of an Islamic Jihad weapons manufacturing unit, and responsible for the unit’s finances, according to the IDF.
The IDF says that al-Jabari “was entrusted with the organization’s production of weapons in the northern Gaza Strip, distribution of salaries and money to the organization’s terrorists, and took an active part in the attempt to restore the organization’s rocket production capabilities and infrastructure.”
Meanwhile, the IDF says that troops with the 162nd Division killed more than 30 gunmen in close-quarters combat and by calling in airstrikes in southern Gaza’s Rafah in the past day.
Afadhali huyu kawahi bikira,kule kuwahi kwenda kupakatwa na Ibrahim.Kama Lazaro alivyopakatwa na kidume Ibrahim.Amewahi bikra zake!! Mapema MNO
KAZI ni kipimo cha UTU
Gaidi mkubwa Israel,almvqlisha nepi Yesu,akamsulubu,akamuua,wafikiri atauonq ufalme wa mbinguni,na bado anamuita Yesu ni mtoto wa nje ya ndoa.Hivi kushabikia Ugaidi huwa mnapewa Kahawa chungu Vikombe vingapi?!
This was was a typical jihadist and his appearance is in sharp contrast to the true men of God we have known through other religious books.Huyo mwamba sisi waislam wa madhehebu ya Shia tunamtukuza sana.
Ni kipenzi chetu cha dhati. Alikuwa mjukuu wa mtume Muhammad mtoto wa binti ya Mudi Fatma. Baba yake alikuwa Ali binadamu ya Mudi.
Bila yeye kuupigania, kuutetea Uislamu, uislamu usengekuwepo.
Sunni wanamchukia bila sababu lakini sisi Shia ni kipenzi chetu cha dhati.
Kupitia yeye tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.
Ni muhimu na lazima waislam wote wa Shia kwenda Karbala na Najaf kuhiji ambapo kipenzi chetu alikufa.
Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein.
Chini hapo ni seal ya kipenzi chetu. Kila nyumba ya mshia utakuta imening'inizwa ukutani.View attachment 3059621
Na hii picha hapo chini naam ndiye mwamba mwenyewe.
View attachment 3059622
adriz ephen_ Malaria 2 Kinyungu Code 255
Hata siku wakimuua Ayatollah mwenyewe unafikiri atakubali, wewe zubaa hapo.Israel haijahusika na kifo cha rais wa Iran,Netanyahu alilikana na alikataa katika vyombo vya habari.
Usijiropokee kama umelewa.
Ni yaleyale ya Mohammed Al Sahaf.Allah hajawahi kushindwa jambo,bali Allah anatutahini na kutupa mitihani.
Ila kisasi kitalipwa.
Ila Yesu na Issa ni watu wawili tofauti kabisa kwani wakati Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe huyo Issa yeye inasemekana alizaliwa chini ya mtende.YESU KRISTO NI MTUME WA MUNGU.
Sisi WAISLAMU TUNAAMINI , sawa na QUR'AN TUKUFU kwamba BWANA YESU KRISTO [ ISA bin MARIAMU ] alikuwa MTUME wa MWENYEZI MUNGU.
Kama MWENYEZI MUNGU alivyosema katika QUR'AN TUKUFU [ 4:172, 5:76, 61:7 ].
WAKRISTO WANAMPANDISHA YESU KRISTO DARAJA la JUU kuwa MWANA wa MUNGU na MUNGU.
Bado HATUJAELEWA ni kwa MISINGI GANI WAKRISTO WANAMPENDELEA hivi ambapo BIBLIA inaeleza VIZURI SANA kwamba:
Akajibu, akasema #SIKUTUMWA ila kwa KONDOO WALIOPOTEA wa NYUMBA ya ISRAELI.
[ MATHAYO 15:24 ].
2. Na UZIMA wa MILELE ndiyo huu, WAKUJUR wewe, MUNGU wa PEKEE wa KWELI , na YESU KRISTO #ULIYEMTUMA.
[ YOHANA 17:3 ].
3. ... bali YEYE ndiye #ALIYENITUMA. [ YOHANA 8:42 ].
4. ... Bali baba #ALIYENIPELEKA.
[ YOHANA 14:24 ].
5. ... WEWE ndiye #ULIYENITUMA.
[ YOHANA 17:8-14, 21-22 ]
6. Mimi #SIWEZI kufanya #NENO_MWENYEWE , kama #NISIKIAVYO ndivyo #NIHUKUMUVYO.
Na HUKUMU yangu ni ya HAKI , kwa sababu #SIYAFUATI mapenzi YANGU mimi, bali mapenzi yake #ALIYENIPELEKA.
[ YOHANA 5:30, 6:38, 4:36 ].
Isitoshe SIYO hayo TU , bali INJILI zote ZIMEJAA AYA ZINAZOELEZA kwamba #YESU_ni_MTUME_tu.
ninataja hapa AYA chache tu ZINAZOTHIBITISHA UTUME WA YESU.
MATHAYO 21:46, 21:11, 9:37.
MARKO 9:35,
LUKA 4:43, 24:19.
YOHANA 13:20, 12:44-50, 7:16-17, 6:44, 7:28-33, 8:1618, 26-29, 9:4,19:17, 6:14, 15:22, 16:5,17:21-25, 4:1924-44.
WAKRISTO KUJIFUNZA NJE YA KANISA KUNA MANUFAA MAKUBWA KULIKO NDANI YA KANISA ,SABABU NDANI YA KANISA HUWEZI KUELEZEWA MAMBO KINAGAUBAGA.
NI MPANGO WA SIRI WA KISHETANI KUWAPOTEZA WALIO WENGI MIONGONI MWA WAKRISTO
TUMIA AKILI YAKO HURU ,MACHO YAKO NA NEEMA YAKO YA UZIMA ,KUJIFUNZA ILI UWEZE KUITAFUTA KWELI NA NJIA YA HAKI.
Ila Yesu na Issa ni watu wawili tofauti kabisa kwani wakati Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe huyo Issa yeye inasemekana alizaliwa chini ya mtende.
Na hata maisha yao yaliyofuatia baada ya kuzaliwa yalikuwa tofauti kabisa.
Kwa taarifa yako ni kwamba, Netanyahu hata akiamua kwenda Iran leo hakuna wa kumkamata.Huyo zaidi ya Marekani hawezi kwenda popote atanyakwa na huko anakuwa anajificha Kama panya
Kwa taarifa yako ni kwamba, Netanyahu hata akiamua kwenda Iran leo hakuna wa kumkamata.
Hivyo ndivyo Mungu alivyopanga uwe mwanzo wa Yesu na wala hakuna cha ajabu hapo hao makahaba kama ni dhambi walikuwa nayo ni sawa tu na wengine nao walivyokuwa na dhambi zao hivyo hata kama angetokana na wanawake wengine lakini bado tu wangekuwa na dhambi vilevile.Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.
Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, nBwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu. Biblia inasema kwamba:
1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).
2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).
3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).
4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).
Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.
Na kama Wakristo mnang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi mjuwe kwamba Biblia inasema:
“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).
Kwa hali hii ni kweli maneno yako Yesu na nabii Issa ni watu wawili tofauti .
Hivyo ndivyo Mungu alivyopanga uwe mwanzo wa Yesu na wala hakuna cha ajabu hapo hao makahaba kama ni dhambi walikuwa nayo ni sawa tu na wengine nao walivyokuwa na dhambi zao hivyo hata kama angetokana na wanawake wengine lakini bado tu wangekuwa na dhambi vilevile.
Hata wewe hapo ulipo una dhambi vilevile sawa na wengine sasa nakushangaa unapojifanya kuona dhambi za wengine wakati wewe siyo malaika.