Muhammad alikuwa mtunzi mzuri sana wa sanaa ya masimulizi

Sasa wewe jiulize swali leo hii mtu aliyekufa kabla ya uhuru tu japo akifufuka leo kwenye hili dunia ya AI atapagawa sembuse kuhamisha kiti? acheni masikhara dini sio ya kupuuza utaikumbuka siko roho imefika shingoni sasa wewe endeleni na ujuaji, kuchamba kwingi mwishowe iondoke na mavi mkononi
 
Sasa kajitenga wapi wakati alikuwa kakaa kwenye kiti cha mfalme?

Alafu toka lini waislamu mnafanya Ibadan mkiwa mmekaa?
😁😁😁
Unatakiwa kwanza uusome uislam ili uujue kijana
Kwanza unaelewa maana ya ibada kijana
Sio kukaa tu waislam tunafanya ibada mpaka tukiwa tumelala
Kama ulikua hujui leo sasa ndio nakujuza
 
Sawa , inamaana watu wa pembeni na ndugu zake Allah aliwadanganya waone yupo hai?
 
Kwa hiyo wapishi wake walikuwa wanampelekea chakula kwa siri au?

Mwaka mzima yupo kwenye Ibadan?
Kwanza tunakubaliana kua kuna kipindi alikua anafanya ibada akiwa kajitenga
 
Watu kama nyinyi hata kuweka hoja nanyi ni kupoteza muda, maana mpo hapa kukebehi na kukashifu imani za wengine na si kutaka mjadala wa kueleweshana. Kikubwa ungesimama na imani unayoamini uendelee nayo, ya wengine waachie wenyewe si lazima utoe kashfa. Ukiona watu wamekaa kimya kwenye imani yako si kwamba hawaoni kasoro, wameheshimu unachokiamini na upande uliyopo.

Kama alitunga na wewe tunga kama hicho uone kama inawezekana, tena uwe hujui kusoma wala kuandika ufanikishe utunzi huo.​
 

Nina uhakika ni mgen wa Dini.
Kwahiyo vitu vingi hujui ndan ya Ukristo wala Uislamu.

Kwahiyo pata wasaa wakujifunza.

kusema na mm nitunge visa kama Mohamed ni hoja dhaifu sana.
Duniani kuna dini kuu 7.
Na zina vitabu vyake.
Ukitoa Uislam na Ukristo. Bado kuna dini 5 kuu.

Kuna jamaa pia hapa JF ana dini yake na anatunga vitabu vyake.
kwahiyo Kutunga sio ishu sana.

Ishu ni kuwa unatoa wapi hizo story zako?.
Mohamed story 30+ katoa kwa Biblia.
Na ndio hoja yangu.
angetunga visa vyake.
 
Kwanza tunakubaliana kua kuna kipindi alikua anafanya ibada akiwa kajitenga
Hakuna palipo andikwa hayo , aya inasema kafa wengine wanasema kasimama wengine alikuwa kakaa

Nimeuliza swali sijajibiwa

Jumba lake la kifalme lilikuwa chini ni udongo ? Kama sio mchwa walipandeje

Na kwa Nini mfalme awe na fimbo ya miti?
 
Lakini kila sayansi ikikua yanaendelea kuonekana sio masimulizi Bali fact.

Sasa hivi issue ya siafu kuongea sio myth kweli wanaongea, ila kwa frequency ndogo ambayo masikio yetu hayawezi sikia, MTU yoyote anayeweza sikia kwa hio frequency na kuproduce Sauti kwa hio frequency anaweza ongea na siafu. Mfano beetle wana produce hio sauti kudanganya siafu na kupata access kwenye makoloni yao.


View: https://m.youtube.com/watch?v=yif0c0bRA48
 
Samahani!

Kwa hiyo show alikuwa hapigi mjomba?kwamba hata wakeze chumbani kwake wasiingie kwa sababu ya usalama wake how!
 
Wewe acha kutishia watu wazima na story za kufikirika
 
Mocking another religion’s miracles doesn’t make you rational, it just exposes your double standards.

Before laughing at the story of Suleiman, explain how Jesus walked on water, fed thousands with a few loaves and fish, and rose from the dead.

Explain the lives of Moses, Yonah, Noah and others as prescribed in your scriptures

If miracles are your problem, apply the same skepticism to your own scripture. Otherwise, it’s not critical thinking, it’s religious prejudice.

The Bible also describes Jesus ascending to heaven.
“He was taken up into heaven and sat at the right hand of God.” — Mark 16:19

So if you mock Muslims for believing in a miraculous life of Suleiman which also serves as the life of Solomon in the other scriptures too, are you prepared to ridicule Christians for believing in miraculous lives of other prophets too?

Or do miracles become acceptable when they belong to your own religion?

What is striking is that you are using modern concepts such as fiction, time travel and fantasy to judge a seventh-century narrative, while conveniently overlooking its religious foundations and literary context.
You are perfectly entitled to disagree with a religious narrative, but before declaring it a work of fiction, you should at least make sure you understand what you are attempting to criticise.
Sarcasm is no substitute for sound argument, and modern terminology is no proof of intellectual depth.
 
Mzee hoja yako ni ya kijinga, sasa unataka mtu atunge mashairi kama ya mudi, sasa si atakuwa amekopi?
Nikitunga kinachofanana mtasema nimekopi, nikitunga kipo tofauti mtasema nimeshindwa kutunga kinachofanana.
Huoni kwamba hiyo ni hoja ya kijinga?
 
Kweli alikua mtunzi wa simulizi maana sio kwa kutumia story za wengine kana kwqmba kafunuliwa yrye
 
Bado unakosa hoja kijana ukisema dini duniani sio saba tu kuna dini zaidi ya saba

Kuhusiana na Ukristo sio vingi huenda sijui vingi sana

Ila kuhusiana na uislam najua walau vicahche

Ila hapa hoja ni ile ile walokuja nazo walokua kabla yenu

Kama Qur’an s a w kaitunga nanyie tungeni ama kopini ili mtu Arizona tu anajua hii kopi kama ile

Yaani mmeshindwa sasa utawaaminishaje watu kama Qur’an imetungwa ama kopi wakati huwezi kutoa mfano wake
 
muongo muongo
 
Ukisema mungu anadanganya unamkosea.hana sifa hyo
Kama hawakudanganywa ilikuwaje mtu kakaa kwenye kiti hali haongei hajigusi haendi chooni wakawa hawajisumbui nae

Walinzi wake ilikuwaje

Sulemani muislamu alikuwa anaishi nyumba ya udongo na kutumia fimbo ya miti?
 
Mzee hoja yako ni ya kijinga, sasa unataka mtu atunge mashairi kama ya mudi, sasa si atakuwa amekopi?
Nikitunga kinachofanana mtasema nimekopi, nikitunga kipo tofauti mtasema nimeshindwa kutunga kinachofanana.
Huoni kwamba hiyo ni hoja ya kijinga?
🤣🤣🤣 naona unajaribu kutaka kujitetea ila unaishia kuonekana hujui lolote

Munavyoambiwa mutunge na nyie mfano wa Qur’an mnayosema alotuunga s a w sio kwasababu tutasema hayo unayosema (ama sio Allah kasema kwaajili hio)

Kuna sababu nyingi ila nitakuekea kadhaaa

Qur’an imejaa ufasaha wa hali ya juu kabisa ambao wenzako walishindwa na wewe hutakaa uuweze

Qur’an licha ya kua ina aya kibao ila hakuna aya ilompinga mwenzake

Qur’an ni imendikwa kwa lugha ya kiarabu ila sasa ukimpa huyo murabu kama hajakaa akaisoma Qur’an hatoboi (muujiza huu)

Muujiza mwengine wa Qur’an kama ingendikwa kwa kiswahili nakupa mfano rahisi ili uelewe neno kula kwa ufasaha wake ni hio hio kula ila kwa Qur’an imeandikwa kulaaaa na ukiisoma kula umekosea (huu muujiza)

Qur’an imeandikwa ama imeshuka miaka 1400 hakuna science ilipo hii leo ila ilitabiri mambo ama ilielezea mambo yatakayokuja kugundulika leo hii wakati wa utandawazi (Qur’an imeeleelezea mambo ya kabla na ya baada)

Mfano qisa cha israa na miiraj watu walishangaa s a kutoka makka kwenda Palestine kwa usiku mmoja tu ila leo drone tu ya iran inaenda teli avivu kwa sekunde s a w alikua mbele ya muda

Wewe ukitaka kuandika mfano wa Qur’an utaandika kiarabu ila ukiulizwa umeandika nini hata hutakijua

Balagha Qur’an kuna muda neno moja linabeba maana ama tafsiri zaidi ya tano au zaidi kuelezea jambo na likaeleweka wakati lugha nyengine ama huo utumbo munaotaka kutunga unahitaji kelele teeele

Hizi kelele munapiga piga weee ila tukirudi kwenye mada Qur’an hatatokea kiumbe akaichallenge mtapiga tu kelele kelele

Kwani hakuna mashairi ya kiarabu mbona hayafanani na Qur’an mie sio mjuzi saaana wa Qur’an ila likipigwa tu ndombolo y kiarabu najua kama hii ndombolo


Wewe iache Qur’an kama ilivyo hiki kitabu bana hakichalenjiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…