🤣🤣🤣Wanasali kuliko zamani ,achana na hadithi za chimakekeWazungu wameshaachana na mambo ya dini, kule dini siku hizi ni kama utamaduni tu(kama wachaga wanavyoenda moshi disemba)
Ndio maana unaona uislam unapenya kwa kasi sana nchi za ulaya na Marekani sababu ya wahamiaji.
Inawezekana wahamiajiWazungu wameshaachana na mambo ya dini, kule dini siku hizi ni kama utamaduni tu(kama wachaga wanavyoenda moshi disemba)
Ndio maana unaona uislam unapenya kwa kasi sana nchi za ulaya na Marekani sababu ya wahamiaji.
Wahamiaji hao, mzungu keshaachana na mambo ya dini.How is this?
Norway is not muslims!
Basi inawezekana Oslo ina wahamiaji wengi waislamu.Wahamiaji hao, mzungu keshaachana na mambo ya dini.
Acha porojo ,umeumia sio! Wapi mtu kabadili jina akauliwa .. Waoga sana nyie.Mtu akibadili dini au kupewq jina la kikristu kwa makobazi ni msala. Ila makobazi wakifanya kwenye nchi za kikristu hawaguswi na wanafurahia
Si ungeandika kiswahili tuHow is this?
Norway is not muslims!
Full stop,
Kwishaaaaaa
Sio wahamiaji pekee pamoja na Ukiristo kupoteza Moral value Ulaya watu kuukimbia .Wazungu wameshaachana na mambo ya dini, kule dini siku hizi ni kama utamaduni tu(kama wachaga wanavyoenda moshi disemba)
Ndio maana unaona uislam unapenya kwa kasi sana nchi za ulaya na Marekani sababu ya wahamiaji.