Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Tutasemaje?Na mtasemaaa 😃😃😃
Tutasemaje?Na mtasemaaa 😃😃😃
Asante.Kusema "Norway is not muslims"sio sahihi coz "Norway" ni nchi yani "kitu" na "muslims" ni watu. So.haviwezi kulinganishwa moja kwa moja bila mapangilio wa grammar.
We muongo unachukizwa naulislam unavyopokelewa kwa kasi jibu nimoja watu wamepata uhuru wakusikiliza hoja na kuchuja wamegundua uislamu dini ya haki usitudanganye kwa chuki zako na unavyo weweWazungu wameshaachana na mambo ya dini, kule dini siku hizi ni kama utamaduni tu(kama wachaga wanavyoenda moshi disemba)
Ndio maana unaona uislam unapenya kwa kasi sana nchi za ulaya na Marekani sababu ya wahamiaji.
Mie sina chuki na dini yeyote ile.We muongo unachukizwa naulislam unavyopokelewa kwa kasi jibu nimoja watu wamepata uhuru wakusikiliza hoja na kuchuja wamegundua uislamu dini ya haki usitudanganye kwa chuki zako na unavyo wewe
Wazungu dini yao quantum physics siku hizi, maana bible imewachanganya mpaka basi wakaona ushibwada🤣🤣🤣Wanasali kuliko zamani ,achana na hadithi za chimakeke
Thank you ,am glad you value my feedbackAsante.
Muda mwingine huwa ni raha kuandika kiingereza kwa kukikoseakosea, at least kwangu mimi.
All in all, you are welcome mrs, i have adored your criticism.
Sasa Cha ajabu nini hapo !
Mnafurahia jina Mudy hapo hapo mkimuona Salah anasherekea X-mass na familia yake mapovu yanawatoka.
Na waislam wakiwa Ulaya huwa wanazaliana kama Panya kwa speed ya 10g ili kukuza ummat wa Modi 🤣..... Bndika bandua kila mwakaWazungu wameshaachana na mambo ya dini, kule dini siku hizi ni kama utamaduni tu(kama wachaga wanavyoenda moshi disemba)
Ndio maana unaona uislam unapenya kwa kasi sana nchi za ulaya na Marekani sababu ya wahamiaji.
Acheni kujidanganya. wakimbizi huko Four wife eight to ten children'sSio wahamiaji pekee pamoja na Ukiristo kupoteza Moral value Ulaya watu kuukimbia .