Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Mrs none umenianza..., kwani hapo nimekosea nini?Si ungeandika kiswahili tu
"Norway is not muslims"!!!
Mrs none umenianza..., kwani hapo nimekosea nini?Si ungeandika kiswahili tu
"Norway is not muslims"!!!
Kufurahia majambo ya kheri ni ibada pia na kufurahia uovu na Shari ni madhambi pia .Muislam akiona hivi anafurahi kama amegraduate u proffessor hivi au kafanya ugunduzi wa kitu muhimu sana duniani
Jina la kikristu ni lipi?Mtu akibadili dini au kupewq jina la kikristu kwa makobazi ni msala. Ila makobazi wakifanya kwenye nchi za kikristu hawaguswi na wanafurahia
Waislamu Norway hasa wasomali ndo wanaongoza kuzaaWazungu wameshaachana na mambo ya dini, kule dini siku hizi ni kama utamaduni tu(kama wachaga wanavyoenda moshi disemba)
Ndio maana unaona uislam unapenya kwa kasi sana nchi za ulaya na Marekani sababu ya wahamiaji.
Naomba ligi tuzichape kingereza mbusi wewe , how dare you underestimate my English.... Maarass!!Waislamu Norway hasa wasomali ndo wanaongoza kuzaa
Kusema "Norway is not muslims"sio sahihi coz "Norway" ni nchi yani "kitu" na "muslims" ni watu. So.haviwezi kulinganishwa moja kwa moja bila mapangilio wa grammar.Mrs none umenianza..., kwani hapo nimekosea nini?
Ila sababu kubwa Wazungu hawapendi kuzaa watoto na hivyo idadi yao inapungua. Idadi ya wazee inaxindi kuongezeka na hivyo hata nguvukazi inapungua. Kinachojitokeza ni kuwa na idadi kubwa ya wahamiaji ili kuziba pengo la upungufu wa nguvukazi.Basi inawezekana Oslo ina wahamiaji wengi waislamu.
Ngojea nakuumbua just waitNaomba ligi tuzichape kingereza mbusi wewe , how dare you underestimate my English.... Maarass!!
Point ya msingi ni kwamba wazungu hawapendi kuzaa zaa hovyo, kwa hiyo huko wanaozaa ni waarabu na waafrika ndio maana wanatoa hayo majina yao ya Mohamed.Ila sababu kubwa Wazungu hawapendi kuzaa watoto na hivyo idadi yao inapungua. Idadi ya wazee inaxindi kuongezeka na hivyo hata nguvukazi inapungua. Kinachojitokeza ni kuwa na idadi kubwa ya wahamiaji ili kuziba pengo la upungufu wa nguvukazi.
Bdo amjasemaaa 😆😆😆Wazungu wameshaachana na mambo ya dini, kule dini siku hizi ni kama utamaduni tu(kama wachaga wanavyoenda moshi disemba)
Ndio maana unaona uislam unapenya kwa kasi sana nchi za ulaya na Marekani sababu ya wahamiaji.
Na mtasemaaa 😃😃😃Point ya msingi ni kwamba wazungu hawapendi kuzaa zaa hovyo, kwa hiyo huko wanaozaa ni waarabu na waafrika ndio maana wanatoa hayo majina yao ya Mohamed.
Ishu ya nguvu kazi siyo hoja.
Kazi siku hizi zinafanywa na mashine siyo watu.
Hoja ya kuzaana ili kuleta nguvu kazi ni ya kijinga.
Ni sawa na wazazi kuzaa watoto wengi ili waje wasaidie kulima mashamba na kuchunga mifugo.
Sawa ila ndio ivooo uislam unazid kuenea kila cku licha ya juhud zenu za kuuzima 😆Hao ni wahamiaji mkuu waopigwa vita huko mashariki ya kati wanakimbilia hiyo miji hakuna mkristo pure anaweza kumuita mwanae mohamed
Point ya msingi ni kwamba wazungu hawapendi kuzaa zaa hovyo, kwa hiyo huko wanaozaa ni waarabu na waafrika ndio maana wanatoa hayo majina yao ya Mohamed.
Ishu ya nguvu kazi siyo hoja.
Kazi siku hizi zinafanywa na mashine siyo watu.
Hoja ya kuzaana ili kuleta nguvu kazi ni ya kijinga.
Ni sawa na wazazi kuzaa watoto wengi ili waje wasaidie kulima mashamba na kuchunga mifugo.
Izo propaganda ndio zinafanya uislam uzid kuimarikaMtu akibadili dini au kupewq jina la kikristu kwa makobazi ni msala. Ila makobazi wakifanya kwenye nchi za kikristu hawaguswi na wanafurahia
Wasididimize mkuu kila dini ina umuhimu sana katika ku stabilize aman, ku staarabisha watu na upendo juu ya uso wa duniaSawa ila ndio ivooo uislam unazid kuenea kila cku licha ya juhud zenu za kuuzima 😆
Bible yenyewe haijui hata inachosema!Kwani bible inasemaje kuhusu kuzaliana 😃