Muhammad jina lililoongoza kupewa watoto waliozaliwa mwaka 2024 Oslo, mji mkuu wa Norway

JAmhuri ya kiislam ya tanzania.😁😁
 
Wazungu wameshaachana na mambo ya dini, kule dini siku hizi ni kama utamaduni tu(kama wachaga wanavyoenda moshi disemba)

Ndio maana unaona uislam unapenya kwa kasi sana nchi za ulaya na Marekani sababu ya wahamiaji.
 
🤣🤣🤣Wanasali kuliko zamani ,achana na hadithi za chimakeke
 
Wazungu wameshaachana na mambo ya dini, kule dini siku hizi ni kama utamaduni tu(kama wachaga wanavyoenda moshi disemba)

Ndio maana unaona uislam unapenya kwa kasi sana nchi za ulaya na Marekani sababu ya wahamiaji.
Inawezekana wahamiaji
 
Mtu akibadili dini au kupewq jina la kikristu kwa makobazi ni msala. Ila makobazi wakifanya kwenye nchi za kikristu hawaguswi na wanafurahia
 
Acha porojo ,umeumia sio! Wapi mtu kabadili jina akauliwa .. Waoga sana nyie.
 
Wazungu wameshaachana na mambo ya dini, kule dini siku hizi ni kama utamaduni tu(kama wachaga wanavyoenda moshi disemba)

Ndio maana unaona uislam unapenya kwa kasi sana nchi za ulaya na Marekani sababu ya wahamiaji.
Sio wahamiaji pekee pamoja na Ukiristo kupoteza Moral value Ulaya watu kuukimbia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…