Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Hatari sana,hakukuwa na mawasiliano pia yule mfumo ulimuamulia
Polisi magomeni,obay,urafiki wenyewe wali blow πŸ˜„

Ova
 
Mkuu hii biashara ina watu wazito nyuma yake . Hivi ngoja nikuulize kitu, magufuli pamoja na ubabe wake wote hakuwahi hata kuwanyooshea kidole hao mapapa achana na Hawa punda.
 
Chonji alikuwa jeuri bana anajiamini sana

Ova
 
Wamekamatwa wa 5 ila Chonji ndio yupo kwenye headline itakuwa ni maarufu huyu

Noma kweli mzee baba aisee
 
πŸ˜„ hamna lolote mm mwepesi kabisa mkuu,sema kuna shuguli
Zingine tulizifanya basi tulikutana na mambo mengi na kufahamu,kufahamiana na watu
Tu hamna cha kitengo wala nini

Ova
Kwenye migodi ya madini mbeya (location undiscosed) ulienda kufanya op kama informer wa kitengo bisha nimwage ujiuji ila uzi utafungwa!!
 
Itakuwa hakufuata maelekezo... Walifatwa wakubwa wote wakaambiwa waachane na hizo habari...

Itakuwa alikaidi..
Sasa vituo vya polisi kama magomeni na kwengineko chonji
Aliviweka mfukoni pale kuna maskari walikuwa kwenye payroll yake πŸ˜„
Ndomana kwwnye ambush unaweza letewa sura ambazo hujawahi hata ziona πŸ˜„
Jamaa hawacheki πŸ˜„ lazima waondoke na weee

Ova
 
kumkamata kwake tu ilikuwa balaa, watoto wa mjini watakwambia chonji ni nani
Achana naye huyo, mshikaji alikuwa bonge la don, Kikwete wakati anamalizia utawala wake ndiyo alitoa oda. Kuna mdau kaelezea jinsi alivyokamatwa kwake, tulikuwepo hiyo siku.Nafikiri umeme ulikatwa Dar nzima, coz tuliulizana kila mahali.

Unamkumbuka yule muuza madawa maarufu wa Colombia aliyeitwa Pablo Escobar?? Lile tukio la kukamatwa kwake ndiyo kama la mshikaji na linaweza kuzidi coz Escoba alikuwa tayari kishajichokea!

Wale vijana, sijui ni makomando?? Yale magari plus silaha, hahaha wewe acha wewe , usichezee dola wewe! Jamaa alikuwa na vijana wake full trained na silaha lakini walichapika kama mvua! Simu haitoki wala haiingii! Aliyekuwepo mwingine ajazie nyama basi!
 

Walitumwa waondoke nae yeye mwenyewe... Sio mabegi ya vibundaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…