Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Kwenye migodi ya madini mbeya (location undiscosed) ulienda kufanya op kama informer wa kitengo bisha nimwage ujiuji ila uzi utafungwa!!
Hamna kitu kweli,we potezea tu
Nishasemaga humu mm zamani nishakuwa baharia,nishafanya deal za 4 sana sana kuuza magari ya kutoka dizonga na mambo mengi ya mjini....ndomana nlikutana na mambo mengi na kkuyaona mkuu

Iva
 
Achana naye huyo, mshikaji alikuwa bonge la don, marehemu Magu ndiyo alitoa oda. Kuna mdau kaelezea jinsi alivyokamatwa kwake, tulikuwepo hiyo siku.Nafikiri umeme ulikatwa Dar nzima, coz tuliulizana kila mahali.

Unamkumbuka yule muuza madawa maarufu wa Colombia aliyeitwa Pablo Escobar?? Lile tukio la kukamatwa kwake ndiyo kama la mshikaji na linaweza kuzidi coz Escoba alikuwa tayari kishajichokea!

Wale vijana, sijui ni makomando?? Yale magari plus silaha, hahaha wewe acha wewe , usichezee dola wewe! Jamaa alikuwa na vijana wake full trained na silaha lakini walichapika kama mvua! Simu haitoki wala haiingii! Aliyekuwepo mwingine ajazie nyama basi!
Chonji enzi za jk mzee

Ova
 
Nilisikia hiyo kitu kutoka kwa mdau wake mmoja
 
Hongera Dr Samia kwa kusimamia ukweli kuliko wale wenzako walioshindwa kazi wakaishia kubambikia watu madawa kwa chuki tu.
Kwa hiyo kwa akili yako unaona hii serikali ya samia ndio ina umadhubuti wa kupambana na vita ya madawa ya kulevya??

Kwamba kukamata hao akina choji ambao hata sio main supplier ndio kunakufanya uwe excited namna hii kiasi cha kubwabwaja maneno ya mipasho kama kimama cha uswahilini chenye asili ya kizanzibari?

Wewe nakuona umevimbiwa asali na haujui kinachoendelea, na kwa taarifa yako tu ni kwamba hakuna kipindi ambacho biashara haramu zinafanyika sana tena kwa uwazi kama awamu hii... weka hilo akilini.
 
Back
Top Bottom