Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Sasa hiyo si sawa tu na dau lako la 10 ukifumuliwa mara 20 unapata 200 yako🤣🤣🤣🤣 Bro huku naona ndio dili zaidi yaani million 200 hii ndio unatoka kabisa kimaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiyo si sawa tu na dau lako la 10 ukifumuliwa mara 20 unapata 200 yako🤣🤣🤣🤣 Bro huku naona ndio dili zaidi yaani million 200 hii ndio unatoka kabisa kimaisha
Jeuri yake ndio imemponzaChonji alikuwa jeuri bana anajiamini sana
Ova
Ni classmates wanaenda kurest in peace.Dar kila mtu ni maarufu chief, ebu elezea ndio akina nani hao wachoji...🤔
Hamna kitu kweli,we potezea tuKwenye migodi ya madini mbeya (location undiscosed) ulienda kufanya op kama informer wa kitengo bisha nimwage ujiuji ila uzi utafungwa!!
Serikali kiboko 😄Walitumwa waondoke nae yeye mwenyewe... Sio mabegi ya vibunda😂😂
wanaume wa huo mtaa kweli watakuwa na marinda kweli?lile gorofa la mtaa wa popo bawa sijui itakuwaje
Chonji enzi za jk mzeeAchana naye huyo, mshikaji alikuwa bonge la don, marehemu Magu ndiyo alitoa oda. Kuna mdau kaelezea jinsi alivyokamatwa kwake, tulikuwepo hiyo siku.Nafikiri umeme ulikatwa Dar nzima, coz tuliulizana kila mahali.
Unamkumbuka yule muuza madawa maarufu wa Colombia aliyeitwa Pablo Escobar?? Lile tukio la kukamatwa kwake ndiyo kama la mshikaji na linaweza kuzidi coz Escoba alikuwa tayari kishajichokea!
Wale vijana, sijui ni makomando?? Yale magari plus silaha, hahaha wewe acha wewe , usichezee dola wewe! Jamaa alikuwa na vijana wake full trained na silaha lakini walichapika kama mvua! Simu haitoki wala haiingii! Aliyekuwepo mwingine ajazie nyama basi!
Zingekuwa enzi za Magu hiyo hukumu ingesimama lkn sshv.......ajuaye ni MunguHiyo hukumu ya kuwachiwa huru kwa Rufaa baada ya muda si mrefu.
Kuna watu wanajuwa kutafuta mianya ya sheria.
Yeah, mfumo uliamua kumtema, kama siku ukiamua kumtema huyu mchora katuni maarufu hapa nchini!hakukuwa na mawasiliano pia yule mfumo ulimuamulia
Nilisikia hiyo kitu kutoka kwa mdau wake mmojaAchana naye huyo, mshikaji alikuwa bonge la don, marehemu Magu ndiyo alitoa oda. Kuna mdau kaelezea jinsi alivyokamatwa kwake, tulikuwepo hiyo siku.Nafikiri umeme ulikatwa Dar nzima, coz tuliulizana kila mahali.
Unamkumbuka yule muuza madawa maarufu wa Colombia aliyeitwa Pablo Escobar?? Lile tukio la kukamatwa kwake ndiyo kama la mshikaji na linaweza kuzidi coz Escoba alikuwa tayari kishajichokea!
Wale vijana, sijui ni makomando?? Yale magari plus silaha, hahaha wewe acha wewe , usichezee dola wewe! Jamaa alikuwa na vijana wake full trained na silaha lakini walichapika kama mvua! Simu haitoki wala haiingii! Aliyekuwepo mwingine ajazie nyama basi!
Unamaanisha huyuhuyu mwenye sijdah kubwa pajini kama chapati iliyoungua?Yeah, mfumo uliamua kumtema, kama siku ukiamua kumtema huyu mchora katuni maarufu hapa nchini!
Kuna watu kazi yao ni kulala,kupiga tizi wao wanasubiriWalitumwa waondoke nae yeye mwenyewe... Sio mabegi ya vibunda😂😂
Mfumo ukikuchoka unakuchoka 😄Yeah, mfumo uliamua kumtema, kama siku ukiamua kumtema huyu mchora katuni maarufu hapa nchini!
Cc adriz Accumen Mo Ritz Webabu Mamlukii Adiosamigo green rajab JaginaWajuu zake mudi hao ukiwakosa kwenye ugaidi unawakuta kwenye drugs, ukiwakosa kwenye drugs utawakuta kwenye ulawiti..
Kiing usiwe na tamaa wee komaa tu kwenye mkaaChonji zamani sana aiseee...
wa***sng kama nyie hamtakuja kuisha,..unamjua chonji wewe.Itakua hawakua na connection za wakubwa serikalini.
yupo kijijini huko atamjua wapiwa***sng kama nyie hamtakuja kuisha,..unamjua chonji wewe.
Kwa hiyo kwa akili yako unaona hii serikali ya samia ndio ina umadhubuti wa kupambana na vita ya madawa ya kulevya??Hongera Dr Samia kwa kusimamia ukweli kuliko wale wenzako walioshindwa kazi wakaishia kubambikia watu madawa kwa chuki tu.