Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Kamishna Siang'a alikuwa front... Juu chini.. Zunguka nyumba Yote...

Yule mtoto wa kitanga nilijua laini laini ila speed yake sio poa... Yeye ndio alikuwa na jiko anazifunga pipi... Tayari kwa kupakiwa kwa punda...

Ilikuwa ni movie ndio maana hata nyumba za majirani zilikuwa chini ya ulinzi.. Hakuna kuingia wala kutoka.
Hatari sana,hakukuwa na mawasiliano pia yule mfumo ulimuamulia
Polisi magomeni,obay,urafiki wenyewe wali blow 😄

Ova
 
Duh! Sasa kwa nini polisi wasitengeneze mazimgira ya kumuua tuu kama walivyofanya kwa yule don wa colombia
Mie ningekuwa mkuu wa hiyo idara yaani ningesema kabis ahapa sitaki kesi nataka a dead body tena especially mtu ambaye tunajua kabisa anatembea na bunduki
Mkuu hii biashara ina watu wazito nyuma yake . Hivi ngoja nikuulize kitu, magufuli pamoja na ubabe wake wote hakuwahi hata kuwanyooshea kidole hao mapapa achana na Hawa punda.
 
Kamishna Siang'a alikuwa front... Juu chini.. Zunguka nyumba Yote...

Yule mtoto wa kitanga nilijua laini laini ila speed yake sio poa... Yeye ndio alikuwa na jiko anazifunga pipi... Tayari kwa kupakiwa kwa punda...

Ilikuwa ni movie ndio maana hata nyumba za majirani zilikuwa chini ya ulinzi.. Hakuna kuingia wala kutoka.
Chonji alikuwa jeuri bana anajiamini sana

Ova
 
Wamekamatwa wa 5 ila Chonji ndio yupo kwenye headline itakuwa ni maarufu huyu

Na kesi hii ilikuwa na msukumo nyuma yake.... ikimlenga huyu huyu chonji ndy yote haya yakatokea
Kwanza hiyo siku jamaa chonji anapigwa ambush kituo cha polisi magomeni wala urafiki walikuwa hawana taarifa
Umeme ulizimwa eneo lote hilo la magomeni
Baharia siku hiyo nlikuwa grand Hotel pale nna mgeni
Ebwana ilikuwa kama movie....
Chonji walipomtimbia kwake alijua anavamiwa na majambazi
Mule ndani kwqke jamaa alikuwa na mzigo mahela,kuna watu walikuwa wanapack kazi wengine wana hesabu mijihela nk
Jamaa alipelekewa watu wa maana watu walipigika sana maana yeye si alikuwa na watu wapiga ngumi 😄 akapelekewa watu wa ngumi pia
Ila ile operation kwake hata polisi magomeni,urafiki,obay walikuwa haijuwi kama inafanyika

Ova
Noma kweli mzee baba aisee
 
😄 hamna lolote mm mwepesi kabisa mkuu,sema kuna shuguli
Zingine tulizifanya basi tulikutana na mambo mengi na kufahamu,kufahamiana na watu
Tu hamna cha kitengo wala nini

Ova
Kwenye migodi ya madini mbeya (location undiscosed) ulienda kufanya op kama informer wa kitengo bisha nimwage ujiuji ila uzi utafungwa!!
 
Itakuwa hakufuata maelekezo... Walifatwa wakubwa wote wakaambiwa waachane na hizo habari...

Itakuwa alikaidi..
Sasa vituo vya polisi kama magomeni na kwengineko chonji
Aliviweka mfukoni pale kuna maskari walikuwa kwenye payroll yake 😄
Ndomana kwwnye ambush unaweza letewa sura ambazo hujawahi hata ziona 😄
Jamaa hawacheki 😄 lazima waondoke na weee

Ova
 
kumkamata kwake tu ilikuwa balaa, watoto wa mjini watakwambia chonji ni nani
Achana naye huyo, mshikaji alikuwa bonge la don, Kikwete wakati anamalizia utawala wake ndiyo alitoa oda. Kuna mdau kaelezea jinsi alivyokamatwa kwake, tulikuwepo hiyo siku.Nafikiri umeme ulikatwa Dar nzima, coz tuliulizana kila mahali.

Unamkumbuka yule muuza madawa maarufu wa Colombia aliyeitwa Pablo Escobar?? Lile tukio la kukamatwa kwake ndiyo kama la mshikaji na linaweza kuzidi coz Escoba alikuwa tayari kishajichokea!

Wale vijana, sijui ni makomando?? Yale magari plus silaha, hahaha wewe acha wewe , usichezee dola wewe! Jamaa alikuwa na vijana wake full trained na silaha lakini walichapika kama mvua! Simu haitoki wala haiingii! Aliyekuwepo mwingine ajazie nyama basi!
 
Sasa vituo vya polisi kama magomeni na kwengineko chonji
Aliviweka mfukoni pale kuna maskari walikuwa kwenye payroll yake 😄
Ndomana kwwnye ambush unaweza letewa sura ambazo hujawahi hata ziona 😄
Jamaa hawacheki 😄 lazima waondoke na weee

Ova

Walitumwa waondoke nae yeye mwenyewe... Sio mabegi ya vibunda😂😂
 
Back
Top Bottom