mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hatari sana,hakukuwa na mawasiliano pia yule mfumo ulimuamuliaKamishna Siang'a alikuwa front... Juu chini.. Zunguka nyumba Yote...
Yule mtoto wa kitanga nilijua laini laini ila speed yake sio poa... Yeye ndio alikuwa na jiko anazifunga pipi... Tayari kwa kupakiwa kwa punda...
Ilikuwa ni movie ndio maana hata nyumba za majirani zilikuwa chini ya ulinzi.. Hakuna kuingia wala kutoka.
Polisi magomeni,obay,urafiki wenyewe wali blow 😄
Ova