MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

Audience analysis haifanyiki na watu wengi wanapo threadika tuepuka kutumia vifupisho ambavyo tuna-assume kila mtu anavijua what is MUHAS AND CUHAS?,pia technical jargons zimetumika Kana kwamba JF Members ni jopo la madaktari mtu aliteishia STD 4 kama Lucas Mwashambwa anaelewa nini unaposema Gynazol.Kwako Dr Megalodon
 
Hakuna mnachojua

Labda wewe unaweza kujibu, umesema nimekosea kuandika jina kwamba ningeandika Generic name !
What is Generic na what is Generic brand
Innovator na Innovator brand ? Au what is INN

Ukiweza kujibu hili akili yako itatulia
Sawa mkuu, gynazol ni dawa 😂 daktar mzima unasema hivo 😂 usitupigie kelele wew
 
Nakumbuka nikiwa form 3, niliwahi kumuachia daktari makaratasi kwa kutotaka kunisikiliza maelezo yangu. Naingia tu anaandika vipimo, namuuliza mbona hujanisikiliza, we nenda maabara kwanza.

Bila shaka siku hiyo nilimuachia funzo kwa kijana mdogo kugomea upuuzi wake.

Nikaenda private hosp kupata huduma. Madaktari na watoa huduma wote, jifunzeni kusikiliza kwanza.
 
Huwa naamini hakuna binadamu useless, kila mtu pako mahala anafit vizuri.
Mifumo yetu haina setup yakumuweka kila mtu mahala pake matokeo yake ni kila mtu kujikuta yupo tu hapo alipo anatafuta hela ya kula.
 
Quality vs quantity. Sera ya nchi yetu its all about kujaza numbers but si quality.
To be honesty secta ya afya ilitakiwa iweze ku contain some of smartest intdividuals.
Ufaulu wa D for clinical officers sio kigezo kizuri. Tunaetenegeza professionals ambao hawajui wanafanya nini.
 
All student or colleger sat under one measurement test!
No matter what or what, final examination are ONE ONLY, labda baadhi ya vyuo vinashindwa kukidhi teaching equips, na mengineyo madogo madogo lakini muhimu
EX-RIT-SPECIALIST!
Megalodon!
 

Maelezo mazuri. Je ni sawa kuwa na D kwenye course za Afya kwa génération ya sasa wakati ufaulu wa sasa ni mkubwa kulinganisha na awali. ?
 
Hahaha siyo kweli, Kwani siku hizi wamezuiliwa kufanya practical? MUHAS wako vizuri tu, unaweza kuta mtu mmoja anashida zake lakini chuo kiko vizuri tu.

Kwenye Afya , MUHAS ndio Kina best and competent students . Nimewahi kufanya kazi na vijana wa Imtu kampala na KCMC wana GPA za 4 above ni catastrophic


Nimewahi kufanya na vijana wa MUHAS hardly kukutana na mtu ana GPA ya 4 mostly walikuawa 2.8 to 3 , but my friend those people are genius smart and hard work and well disciplined

Nilitamani kuongea na mkuu wa MUHAS mnatakiwa ku standard GPA zenu sio kumuandikia mtu 2.8 , that should be 3 above

Mtu wa kampala anakula GPA ya 4.5 then anaenda kufeli professional exams , while MUHAS GPA ya 2.5 anaenda kupata A flat

Unakutana na GPA ya 4,5 Imtu au kampala etc hawezi hata kuchukua pathologie hostory, mfamasia hawezi hata kumsaidia daktari to determine dose especially kwenye calculations zao , halaf ndio ana GPA Ya 4 shame
 

Umeingia na kutoka Mangi
 
You have a point to ponder, You are very correct! all in all kumbuka Albert einstein alikataliwa kwenda university kuwa uwezo wake ni mdogo, ....and you know the story about the guy!

Wale elimu yao skills based yaani competence based outcome
 

[emoji2099]
 

Niliandika ni nini
 

Huko Serikalini Acha tu , tena na hizi D qualification entry,ni hatari sana
 
Huwa naamini hakuna binadamu useless, kila mtu pako mahala anafit vizuri.
Mifumo yetu haina setup yakumuweka kila mtu mahala pake matokeo yake ni kila mtu kujikuta yupo tu hapo alipo anatafuta hela ya kula.

Sahihi ndio maana wenzetu wanajua ku positons watu

But kwa TZ mtu Hana vigezo n’a hobby ya Afya but ataenda kuaomea Afya kwa sababu ya ajira za uhakika

But time changes hata hizo Afya ajira ni tabu

So you must learn unapenda nini and be good at it

Mwijaku amejiona yeye ni bora kuwa baba mjinga and he is making up

Be good at it
 
Cognitive domain
Affective domain
Psychomotor domain
 
Ulipotaja CUHAS tu nikajua hujui unachokiongea. Miongoni mwa vyuo vina products zenye ubora mdogo ni CUHAS . At least KCMC inapokuja kwenye kazi za mikono na practical wanatoa Madaktari wazuri sio CUHAS
CUHAS ni chuo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…