MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

Ndugu samahani lakini, kwani wewe ni mtu wa fani gani? kati ya hizo ulizotaja ulikuwa unawatrain interns? au zote?
 
Ndugu samahani lakini, kwani wewe ni mtu wa fani gani? kati ya hizo ulizotaja ulikuwa unawatrain interns? au zote?

Swali la hovyo sana halafu umejiandika una masters

If you are a doctor you will work with nurses as well as pharmacist , you will explain things to them and they will explain to you

if you are good enough both of them will be your friends

You have something to learn from pharmacist, if you don’t interact with them … you will know only what you know ,

if you think you are better than nurses …you will know only what you know


Medical field sio field ya mtu 1 sitting on chair and make it all

Ndio hapo tunapata vijana who ask
Is your family has history of failing from the trees

Hapa nilipo, it is normal thing for me to be in a constant call with pharmacist for 20minutes arguing and discussing based on the statistical data ; akinielezea why dawa niliyo prescribe is not suitable for that patient after he has gone through patient file .

He provides his literature and findings based on the data , you listen you talk and finally we reach consensus, and now you ask him , so what is your recommendation; then he provides the suitable one with hard evidence based on the statistical significance. Ndio maana hukuti medication errors kizembe because we believe kuna Verifier who is a pharmacist , hapo TZ daktari nikifanya professional error kutokana na wingi wa kazi , most of the time ndio inatembea hiyo ……..

Hapo Bongo sijawahi kukutana na hao pharmacist , na ikitokea ni mara chache chache sana , doctor tunaamini we know all , pharmacist nao wanajiona wanajua sana dawa than doctors , nurses yeye anajiona ndio mpango mzima linapokuja suala la mgonjwa and sometime they even teach doctors in the practical sense.

Mfumo wa black countries haupo organized kuwa you guys you need to work pamoja ili mgonjwa awe salama zaid . The ultimate ni afya ya mgonjwa
 
Ulipotaja CUHAS tu nikajua hujui unachokiongea. Miongoni mwa vyuo vina products zenye ubora mdogo ni CUHAS . At least KCMC inapokuja kwenye kazi za mikono na practical wanatoa Madaktari wazuri sio CUHAS
Mwenzio amekupa ushahidi alichokishuhudia alipokuwa Ocean road, wewe unaleta story za kuambiwa mitaani! Ila mleta mada mimi nitampinga kwenye A na D. Unalinganishaje na mitaala ya nchi zingine? Hiyo D ya hapa unaijua imekaaje?
 
Heart beat, pulse rate na device za kupima bloof pressure, unaikumbuka dopler effect?

Ultrasound unajua inafanyaje kazi?
Asisahau cathod ray oscilloscope pia inavyofanya kazi ni masuala ya radiation top ipo form 4 physics.
 
Mwenzio amekupa ushahidi alichokishuhudia alipokuwa Ocean road, wewe unaleta story za kuambiwa mitaani! Ila mleta mada mimi nitampinga kwenye A na D. Unalinganishaje na mitaala ya nchi zingine? Hiyo D ya hapa unaijua imekaaje?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kaka umenifurahisha sana aisee.
 
UDOM ndo chuo pekee kinachopeleka wanafunzi wake clinical area kwa mwaka mzima , DRs na Nurses, that is why they have a lot of exposure, hivyo experience wanapata za kutosha
Mungu nisamehe na wote mnisamehe! Sina nia mabaya ya kufedhehesha vyuo, hapana. Nimefanyisha wanafunzi kutoka UDOM, UDSM, SUA na vingine interview za ajira. Wakati huo tulikuwa tunaajiri kwenye institute yetu, then unapeleka majina hazina /utumishi wanaajiriwa na mishahara yao na mambo mengine.
Mnisamehe, the worst candidates were fro UDOM. Mnisamehe! best walikuwa kutoka SUA na MUHAS! Sikuwahi kukutana na CUHAS

UDOM ilikuwa shida sana tena sana. Na kweli ukienda kwenye makundi ya whatsapp ukaona presentation ya mtu kutoka ODOM , utasikitika.
To crown it all, kuna kijana ninayemfahamu, namfahamu fika sana. A weak student. Very weak so to say, Leo ni lecturer UDOM!
 
Kinachokusumbua wewe ni wivu na roho mbaya, kama unaona huruma usingekimbilia nje ungebaki kutibu watu wa nchi yako, wewe ni kati ya wale jamaa washamba sana.
Shida yako ipo hapo kwenye bold,usually maskini hatupendani jamaa angekwambia anahudumu Mwananyamala au Amana pale Ilala usingeandika ulichoandika hapo juu,what if ameenda kuongeza elimu ili aje awafundishe vizuri?!

Alichoandika mleta mada yupo sahihi sana,na hao makanjanja ndiyo wamejazana huko private nina mwanangu aliungua moto nikajichanganya kumpeleka private nilijuta.kitu hawana idea nacho wanakwambia hapa sisi ndiyo amefika huyu week tu mpya wakakaa nae siku nne hakuna walichofanya wananiambia hatumuwezi.
 
Maliza chuo uende kutapambana kutafuta kazi ya kuuza duka la dawa acha ngonjera zako
 
Nchi yetu hii,ukienda na mgonjwa hospital yoyote iwe Muhimbili au Aga Khan zinazoaminika,ukiambiwa kuna operations ujue ni kamari na huyo ndugu yenu haponi.....unaogea na doctor nayeye anakuomba ushauri mtu wa HKL nini kifanyike.
Kama unashida fulani na unakipato,nenda India tu,hapa Bongo unakufa huku unajiona,kuna Mama yetu alikwisha andika hadi urithi, alikuwa anatibiwa Aga Khan,baada ya mtu mmoja kushauri aende India,na wanafamilia kuchanga ili aende,alipofika kule baada ya vipimo,wakashangaa Madaktari wa Tz walikuwa wanatibu jambo ambalo si tatizo,wakashangaa sana....yule Mama baada ya miezi 2 akapona kabisa,mwezi wa tatu akarudi Bongo, anaendelea kula bata fresh kabisa

Sekta ya Afya Tz inawezekana katika vifo vya watu 100,incompetence ya wahudumu inawezekana ikawa inachangia vifo vya watu 15
 
Wanachojali ni kuandika madawa mengiiii na mengine yanafanya kazi moja tu,ili mradi bills iwe kubwa,wapuuzi sana private
 
Ulipotaja CUHAS tu nikajua hujui unachokiongea. Miongoni mwa vyuo vina products zenye ubora mdogo ni CUHAS . At least KCMC inapokuja kwenye kazi za mikono na practical wanatoa Madaktari wazuri sio CUHAS
Your justification is based on which ground?
 
Nadhani tatizo lilianzia kwenye baadhi ya vyuo kuangalia pesa badala ya qualification hata hao MUHAS ni wajanja wajanja tu nilienda kuchukua fomu ya maombi kipindi kile yalikuwa yanaombwa kupitia hard copy kuna jamaa akaniambia hapo bila hela hutoboi maana kuna watoto wa wahindi na waarabu walikuwa hawana qualification za kusoma pale ila wanatoa hela tu wanaendelea na masomo kiufupi wanasiasa walivyojiiingiza kwenye biashara ya afya tu na elimu kiujumla kila kitu kikabadilika.
 

Duh , people can’t understand

I tell you hivi vyuo vichunguzwe snaa

MUHAS wana culture sana ya sélection only critical na wanaangalia sana Hesabu during selection , ukipata A in mathe, na masomo mengine uka maintain , wanakuchungua

Sio kwamba hakuna wanao disco , Wapo wengi sababu hawasomi, MUHAS na SUA wapo makini kwenye selection
Haya machuo kama kampala imtu St. John nimekutana snaa na products zao ni catastrophic kweli kweli . Sasa policy ya nchi ni I hovyo
Mtu anaenda kusoma Afya with D na F mambo ya aibu snaa ,

Kampala [emoji24][emoji24][emoji24]hapa ndio huzuni kubwa
 

Siwezi kudharau nchi yangu Tanganyika, kwa sababu inamchango mkubwa kwenye career path yetu but ukweli ni kwamba suala la Afya Tanzania lipo Zaid kwenye mikono ya mungu kuliko science , facilities and equipment ni changamoto na hata Shule za Afya ni lipo ki biashara zaid ndio maana unakuta mtu ana F anaunga na kusomeaAfya
 
sasa hivi wanagawa uprofesa kama njugu, chunguza taona ukweli wa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…