Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

Wadau sio watu wazuri aisee
 
Wale wahuni wakija mkuu wa kuku utauona sindano. Imagine njemba 6 na bunduki zao!
Nakuambia watakimbia na bunduki, wakianza kugonga mlango usiku ukawaambia waondoke warudi mchana halafu hawataki na umehisi hatari, pitisha kama tatu hivi kati kati ya mlango uone nani atabaki... hata wao ni watu kama wengine...

Kuingia ndani kumvamia mtu kama ana silaha probability ya kudhurka walio nje ni kubwa..
 
Inashangaza sana jamaa amepona maana huo mkato ilikuwa wamuue aisee!
Ina maana mshipa mkubwa wa damu haukuguswa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…