Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

Engineer wa nini huyu mdau.
Sasa mbona kama ishakuwa vita ya IDF na Ayatollah mambo ya kuua wataalam.

Hapa asipokamatwa muhusika na polisi kuweka maelezo sawa mifumo yetu yote inakoswa maana kabisa. Inatupq sononeko kubwa sana la kihisia kuhusu usalama wa raia na uhai wetu.
 
Serikali ikamate hilo genge mkuu. Hii kitu kama haijakaa sawa.
 
Kama pesa ipo mkuu hakuna mambo mengi unapewa tu chuma chako
yeah hua iko hivo, but since hizi harakati za kudai katiba ya warioba na no reform no election ya chadema now imekua kazi sana cas samia na waharifu wenzake wanaogopa kufanyiwa wanaofanyia wengine, so stupid[emoji34]
 
Hayo ni matatizo ya akili kuchinjana kabisa duh
 
Kwamba genge la Maria Sarungi waingie wodini wakamchinje mtu huku walinzi wakiwaangalia tu then waondoke salama?kuweni basi na utu na roho za watu haya madaraka yanawafanya mnakosa kabisa utu wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…