Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Hospitali gani?
Ulisoma hii comment yako kabla ya kubonyeza "post"!!??Mama kaamua kuundiwa zengwe ila litapita tu ,wabara muache chuki ..
This is far too low of you!Hawa vijana wanaharakati wasipokuwa makini haya magenge ya kina Maria yatazidi kuwapukutisha ili kupata political mileage. Mtu kama Matarra jinsi anavyotukana huko Twitter kuna uwezekano mkubwa kafanyiwa unyama na genge la Maria Sarungi ili lawama ziende kwa serikali.... vijana kuweni makini mitandaoni. Hao mnaowaamini ndo hatari zaidi.
Aiseee ikulu kuna siri nyingi sana why this..Hii ni hatari saana.View attachment 3391433View attachment 3391434
Wamemshona sio poa aseeIla bro una mambo.
Mimi ntaendelea kumlaani Mabeyo kwa hayaJamani kwani kuna nini?
Mbona jamaa ni mtu masikini tu.
Hivi kweli watanzania hatuwezi kuwa kama Kenya?
Mimi Niko tayari Kwa maandamano.
Wewe je?
Lakini inawezekana, maadui wa serikali wanaweza fanya mauaji katika mazingira ambayo lawama zitaenda serikalini.This is far too low of you!
Hii imeongezeka baada ya kitengo kuwekewa kinga ya kisheria kwa waajiriwa wakeInasikitisha sana sijui kama taifa tunaelekea wapi
Hizi ni akili za FacebookLakini inawezekana, maadui wa serikali wanaweza fanya mauaji katika mazingira ambayo lawama zitaenda serikalini.
We sema ni kazi ya serikali kulinda raia wake, hata wakosoaji wake inatakiwa kuwalinda, na iwapo kuna mtu anazunguka huko kuua wakosoaji ni jukumu la serikali kumdhibiti.
Siamini hii… kama serikali ingekua haihusiki trust me wauwaji wangekua washadakwa kama sio kuanikwa hadharani mapema mnooo.Hawa vijana wanaharakati wasipokuwa makini haya magenge ya kina Maria yatazidi kuwapukutisha ili kupata political mileage. Mtu kama Matarra jinsi anavyotukana huko Twitter kuna uwezekano mkubwa kafanyiwa unyama na genge la Maria Sarungi ili lawama ziende kwa serikali.... vijana kuweni makini mitandaoni. Hao mnaowaamini ndo hatari zaidi.
Ni kweli binafsi naamini "intelijensia" ya polisi ipo vizuri sana yaani huwezi kufanya kosa eti la mauaji utoroke mikono ya sheria kirahisi hata ukifuatilia matukio yanayotokea kwa wananchi wa kawaida ya mauaji wengi sana huwa wanakamatwa mapema sana, haya ya wasiojulikana hawakamatwi kwa sababu hawatakiwi kukamatwa means wanajulikana ni kina nani ila polisi hawatakiwi kuwakamata tu.Siamini hii… kama serikali ingekua haihusiki trust me wauwaji wangekua washadakwa kama sio kuanikwa hadharani mapema mnooo.
Kwasababu mauaji haya yanafanyika kizembe mno, kiasi kwamba hata mbumbu akiamua kufatilia anaweza kujua watekelezaji!