Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

huyu jamaa alikuwa na press flani flani hivi nikajua tu wakuu hawatapenda atagharamika sio siku nyingi.

baada ya kutoka jela ni kama aliamua kugeukia maisha yake,waliomtoa wakaanza kumjaza upepo kwamba analala wakati mifumo mibovu ya haki ilimgharimu,anatakiwa kupigia kelele,nadhani hapo ndipo aliingia vitani rasmi mpaka kufikishana huku na wadau.
Jamaa wamemtoa kama sadaka hivi ,

Wenzake wanao fanya hizo movement Wana backup yeye Hana alijualo Huwa anajilipua tu kule Twitter matokeo yake ndio hayo

All in all hata kama kakosea hakupaswa kutendewa hivyo maana nchi inaongozwa Kwa Sheria hii
 
Hivi mtu nafsi yako inajisikiaje kuwa wewe ndio sababu ya umauti wa mwenzako kwa kutumiwa na watu wa utawala.....yaani baada ya kuitenda kazi hiyo unarudi nyumbani unakaa na familia unacheka kabisa......yaani unakula ugali na unashuka kabisa kooni.....

Yaani unaona kwenye TV kuwa kuna maiti imeokotwa kwenye kiroba...na wewe unajisemea kuwa ni kazi ya mikono yangu...... unawaona mke na watoto wake wakilia kwa uchungu......

Mwanasiasa aliyekutuma watoto wake wanasoma ulaya wewe wanao wanagombania daladala.......baada ya mauaji unarudi nyumbani kwako ambayo ni duni huku boss wako akirudishwa nyumbani na V8.....

Miaka mingi inakatika na hatimaye unastaafu kazi unaanza kupigania kiinua mgongo chako chenye damu za watu....aliyekutuma serikali ina mtunza na pengine ana apartments za kupangisha huko masaki anakula kodi na kwenda kujivinjari nchi za ulaya....... hatimaye kwa msongo wa mawazo unapigwa na stroke na kisukari unakufa.....
Wale Wana kuwa recruited kufanya hivyo -- kumbuka ubongo wa binaadamu ukijazwa chochote kile Huwa unapokea tu so it depends unachojaza ktk ubongo wako ni kitu Gani

Btw alichofanyiwa ni zaidi ya unyama
 
This is so bad!
Sidhani kama kuna mtu timamu atafurahia huu ukatili kwa binadamu mwenzake!

Mungu tenda jambo!
Yaan Mungu atende jambo while unauwezo wa kufanya jambo wew mwenyew na haki ikapatikana.

Wew lianzishe then Mungu ataleta maajabu yake humohumo😎
 
Pole sana Eng. Matala 😢. Mwenyezi Mungu ni mwema sana. Utapona kwa madhila yote yaliyokusibu.
 
Hii system nazani ipo kwenye panic mode, System tayar ishachanganyikiwa na kilichobaki ni kuruka na yeyote yule na kuua.

Wanaona raia bado hawaogopi so kinachoendelea ni kufanya matukio ambayo tayar yamekuwa out of their control kwaajili ya Panic.

Wasichoelewa ni kwamba kila mtu atakufa, So ikitokea nimetekwa na kuuawa kwa kuipinga serikali hii basi ni dhahiri siku yangu imefika and no matter what I do, I can’t escape death.

Enzi za Vikings kulikuwa na vita za mapanga, mishale na mikuki, katika vita zile kuna watu ambao walipigana karibia battle 50+ na wali survive zote mpaka wanazeeka, Imagine unapigana panga na huyu na huku wengine wanakulenga na mishale na wengine wanakuvizia wakupige panga za nyuma.

Hii ina maanisha kwamba kufa kupo na hakuepukiki, ila kufa kwenye kitu unachoamini kitaleta mabadiliko kwa vizazi vijavyo ni bora zaidi kuliko kufa kwa kugongwa na gari au maradhi.
 
Hii habari imetoka kwa maria sarungi, ukiivaa hovyo hovyo umekwenda na maji. Simwamini hata kidogo tangu acheze ile movie yake iliyobuma.

Hivi amewahi kuoost chochote kuhusu mauaji ya kule Kenya?!!!!
Si tulisema ya majirani hayatuhusu?
 
Jamaa wamemtoa kama sadaka hivi ,

Wenzake wanao fanya hizo movement Wana backup yeye Hana alijualo Huwa anajilipua tu kule Twitter matokeo yake ndio hayo

All in all hata kama kakosea hakupaswa kutendewa hivyo maana nchi inaongozwa Kwa Sheria hii
huwa nalaani sana watu wenye roho mbaya hivi,ila ndugu zangu nao huwa hawajali kabisa na wanajua wanakosoa aina gani ya watu.
 
Ila moto tupo tofauti sana,

Mwenzenu hapa nilipo hata kuku huwa siwezi kuchinja na huwa sipo tayari nikishudia akichinjwa
 
Watanganyika wanazidi kuumizwa !!.

Ukisikia tangu Tanzania ipate uhuru wake, ni katika Awamu hii TU ya Sita ndio kumetokea Matukio ya kutisha, Hauna haja ya kuhoji !!.

Huyu Jamaa ni Mwanaharakati wa haki za Binadamu, na Mkosoaji maarufu wa Serikali Awamu ya Sita chini ya Rais Samia .

Kwa Mujibu wa Maelezo yake na mitandaoni, alikamatwa na wasojulikana, wakamchinja , wakajua kafa

Mungu so Athuman akawa kapona, Kwa Sasa yuko mafichoni.

Walinitendea maumivu yasiyosemeka, kisha wakatoweka kana kwamba si kitu. Walikusudia kuniua, lkn Mungu akakataa. Wasiojulikana mliniumiza sana wazee, ndio maana nachukia sana upande ule unaowaajiri kutuumiza hivi.
Gu1WC_RWYAAnYcF.jpeg


Inaumiza sana , Imagine ,Kisu kinapitishwa kwenye koromeo namna hiii ,Kwa sababu tu Unamkosoa Mkuu wa Nchi !!.

Screenshot_20250702_231022~2.jpg



Simpendi Rais Samia Kwa Dhati ya Moyo wangu, akili yangu yote, nguvu zangu zote, Simpendi kwelikweli simpendi na ninamchukia mnoo!!.

Hivi ,Mtoto wa MTU anachinjwa namna hiii??

Uongozi ambao walikuwepo Akina Nyerere, akina Mkapa Akina Mwingi, Akina Magufuli, Kikwete, yaan Uongozi ambao utauacha?? Mtoto wa MTU anapitishwa Panga namna hiii??.
 
Back
Top Bottom