Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Namaanisha na naweza kutetea comment yanguUlisoma hii comment yako kabla ya kubonyeza "post"!!??
Namaanisha na naweza kutetea comment yanguUlisoma hii comment yako kabla ya kubonyeza "post"!!??
Akili yako ya ki GT inasemaje? raisi ndo kamchinja?Hizi ni akili za Facebook
Haijalishi ni kwa matusi au laa, ilivyo ni kwamba hii setikali haitaki kukosolewa kabisa.Naye Ana mitusi?
Kama anatukana akamatwe apelekwe kwenye vyombo vya sheria.Pitia page ya huyu kijana kwanza
Sure wenzio wanapambana wamejificha nchi za watu.Wale kukupoteza hawawazi kama mzee kibao alishushwa kwa bus na kuuliwa sembuse ww umelazwa.
nani huyo wa kuruka na mimiKeyboard janja wakiamua kuruka na wewe huchukui round na usifikiri jf hufikiki
Elimisha familia Yako huko mbeleni hutotumia nguvu kuhamasisha maandamano.Jamani kwani kuna nini?
Mbona jamaa ni mtu masikini tu.
Hivi kweli watanzania hatuwezi kuwa kama Kenya?
Mimi Niko tayari Kwa maandamano.
Wewe je?
Kama tunaangalia movie vile 😒Wamemshambulia kwake kapona wamemfata hospital, umewahi kuona wapi?
Nakumbuka watu walivyo nipinga nilipo waambia kuhusu samia kuua sana watu pia niliwaambia kudhani ni rahisi kupata katiba mpya chini ya samia ni upumbavu mkubwa sana nikawaambia ilikuwa rahisi kupata katiba chini ya JPM kuliko huyu kiumbe samia...uwa sibahatishi kwenye mambo ya logicHii ni hatari saana.View attachment 3391433View attachment 3391434
Halafu mtu mwenyewe Hana madhara yoyote huyo zaidi ya kuropoka ropoka tu Twitter, Yaani Wana hangaika na watu ambao Hawana hata power .. wasting of energy kmmkKweli binadamu tupo tofauti sana yaani unataka kumtenganisha mwanadam mwenzako kichwa na kiwiliwili kisa madaraka ambayo tayari uko nayo?
😂 Eti rozaliBaada ya kufungua huu uzi ndo nimejua kua lile shingoni ni jeraha,mwanzo niliona kwenye uzi mwingine nikajua ni rozali jamaa ameivaa.Pole sana kwake.
Hospitali hapo kuna CCTV,wawakamate wawawajibishe.