hatari kwa kweliUshawahi sikia wapapmbe nuksi kuliko mwenye mali?.
Ni hatariWatu Wana roho mbayq
Kama kuna sheria kavunja si wangemshtaki mahakamani?Sitetei uhalifu ila huyu tulimuonya sana kuwa hivyo vita unavyoleteana na hao watu kama kwa kujificha huna bora ukaushe...
Halafu kufika kule na washakucha pale wanagundua kuwa sio wewe mlengwa halisi. Wanaanza upya kusaka mtu wao😀😀😀😀😃😃 Unaweza usiwe na shida ukashangaa tu paaap unapelekwa mikumi
Na mara nyingi hili watu hawalijui ila ndiyo ukweli uliopo.kuna Mzee aliwahi kuniambia kuwa pamoja na ukali wa Magu lakini kuna baadhi ya mambo yalikuwa yanafanywa na rivals wake ili kuichafua serikali yake.Lakini inawezekana, maadui wa serikali wanaweza fanya mauaji katika mazingira ambayo lawama zitaenda serikalini.
We sema ni kazi ya serikali kulinda raia wake, hata wakosoaji wake inatakiwa kuwalinda, na iwapo kuna mtu anazunguka huko kuua wakosoaji ni jukumu la serikali kumdhibiti.
Nenda Burundi tu chuma nje nje unapata tu kiroho safi achana na maprocess yaoyani na policcm nowdays hawatoi kibali cha kuwa na private gun kirahisi, mtu unanuna gun kwa ajili ya kujilinda, unaenda kuisajili but procedure ni ndefu na maswali yaso na msingi wanadhani kila mtu anaenunua silaha ni muuaji akati ni kujilinda, sheria za hovyo sana[emoji34]
Exactly 💯 mkuuHalafu kufika kule na washakucha pale wanagundua kuwa sio wewe mlengwa halisi. Wanaanza upya kusaka mtu wao😀😀😀
Kama ni kuchinjana hivi kisa Nini?Jamani kwani kuna nini?
Mbona jamaa ni mtu masikini tu.
Hivi kweli watanzania hatuwezi kuwa kama Kenya?
Mimi Niko tayari Kwa maandamano.
Wewe je?
Kwani wao Muhimbili wanasemajeUjue imenishangaza....! Mtu kaenda Kuchinjwa Wodini...! Tena Muhimbili.
Kum@ la mamakoHawa vijana wanaharakati wasipokuwa makini haya magenge ya kina Maria yatazidi kuwapukutisha ili kupata political mileage. Mtu kama Matarra jinsi anavyotukana huko Twitter kuna uwezekano mkubwa kafanyiwa unyama na genge la Maria Sarungi ili lawama ziende kwa serikali.... vijana kuweni makini mitandaoni. Hao mnaowaamini ndo hatari zaidi.
Inasikitisha ila hNa bado kuna wapumbavu wanampigia chapuo bibi chaudere ili aendelee kua pale 😳😳😳
Hata ww ukitukanwa na mtoto lazima umchape.Ccm waje watueleze kwenye utawala huu kuna utamu gani mpaka hawapendi kusikia mtu yoyote anawasema chochote tofauti na kuwasifia
Maana mmezidi sana wajinga nyie
Inawezekana mkuu, maana Tanzania ni kubwa mno. Huwezi weka sikio kila kona kusikiliza watu wanapanga nini.Na mara nyingi hili watu hawalijui ila ndiyo ukweli uliopo shida moja kubwa vyombo vyetu vya ulinzi nao wanatumika hivyo hawawezi kuthibitiana kwa kuogopana wenyewe kwa wenyewe kwasababu hayo magenge yanayotumika ni miongoni mwa vikosi kazi vinavyoundwa ndani ya vyombo hivyo.kuna Mzee aliwahi kuniambia kuwa pamoja na ukali wa Magu lakini kuna baadhi ya mambo yalikuwa yanafanywa na rivals wake ili kuichafua serikali yake.
So aendelee na vita zake kwa sababu hakuna sheria amevunja....Kama kuna sheria kavunja si wangemshtaki mahakamani?
Mamako hana?Kum@ la mamako