Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

Hatari sana, watu wasiojulikana


Japhet Ibrahim Matarra vs Republic (Criminal Appeal No. 51 of 2023) [2024] TZHC 77 (22 January 2024)​



IN THE HIGH COURT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MOSHI DISTRICT REGISTRY AT MOSHI
CRIMINAL APPEAL NO. 51 OF 2023(Originating from Moshi District Court in Criminal Case No. 435 of 2021)

JAPHET IBRAHIM MATARRA ..................................... APPELLANT

VERSUS

REPUBLIC .................................................................. RESPONDENT

JUDGMENT
13/12/2023 & 22/01/2024
SIMFUKWE, J.
Japhet Ibrahim Matarra, hereinafter referred to as the Appellant was charged before the District Court of Moshi at Moshi with the offence of Publication of false information contrary to section 16 of the
Cybercrimes Act, 2015.

The particulars of the offence were to the effect that in October, 2021,
within the District of Moshi in Kilimanjaro Region, the appellant did publish
data presented in a text in a computer system through his twitter account
bearing words

Page 1


marehemu DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, unakadiriwa kuwa
Tshs. 11.2B. Upande wa wastaafu inakadiriwa kama ifuatavyo:
JAKAYA KIKWETE (352B), marehemu B.W. MKAPA (461B) na
ALLY HASSAN MWINYI (18.4B) na Rais wetu SAMIA SULUHU
(34.5B)” while knowing that such data was false with intent to mislead the public.
In a nut shell, the prosecution case was that, through the informer, a Police
Officer namely SSP Boniface Mayara (PW5), got information about a
message sent on twitter account concerning wealth of the current and
retired Presidents of the United Republic of Tanzania. The informer named
the person who sent the message to be Japhet Matarra. The message
mentioned the 5th President the late John Pombe Magufuli, the 4th
President Jakaya Mrisho Kikwete, the 3rd President Benjamin William
Mkapa, the 2nd President Ally Hassan Mwinyi and the 6th President Her
Excellence Dr. Samia Hassan Suluhu.
Upon receiving such information, PW5 went to satisfy himself on the
presence of the message and legality of the sender. He found that the....

Page 2

READ the Judgement Source :
 
Watanganyika wanazidi kuumizwa !!.

Ukisikia tangu Tanzania ipate uhuru wake, ni katika Awamu hii TU ya Sita ndio kumetokea Matukio ya kutisha, Hauna haja ya kuhoji !!.

Huyu Jamaa ni Mwanaharakati wa haki za Binadamu, na Mkosoaji maarufu wa Serikali Awamu ya Sita chini ya Rais Samia .

Kwa Mujibu wa Maelezo yake na mitandaoni, alikamatwa na wasojulikana, wakamchinja , wakajua kafa

Mungu so Athuman akawa kapona, Kwa Sasa yuko mafichoni.

Walinitendea maumivu yasiyosemeka, kisha wakatoweka kana kwamba si kitu. Walikusudia kuniua, lkn Mungu akakataa. Wasiojulikana mliniumiza sana wazee, ndio maana nachukia sana upande ule unaowaajiri kutuumiza hivi.
View attachment 3393125

Inaumiza sana , Imagine ,Kisu kinapitishwa kwenye koromeo namna hiii ,Kwa sababu tu Unamkosoa Mkuu wa Nchi !!.

View attachment 3393126


Simpendi Rais Samia Kwa Dhati ya Moyo wangu, akili yangu yote, nguvu zangu zote, Simpendi kwelikweli simpendi na ninamchukia mnoo!!.

Hivi ,Mtoto wa MTU anachinjwa namna hiii??

Uongozi ambao walikuwepo Akina Nyerere, akina Mkapa Akina Mwingi, Akina Magufuli, Kikwete, yaan Uongozi ambao utauacha?? Mtoto wa MTU anapitishwa Panga namna hiii??.
Mi simjui.
 
Ila hao wasiojulikana n wapuuzi tuu mana wangekuwa professional wangefanya Kazi zao kwa usahihi
 
Muhimbili mbona mmejikausha hamna neno kwa tukio kubwa km hili msemaji uko wapi kwenye hili?
Na vyombo vya habari kimya kulikoni? Kulipa kisogo tukio kubwa km movie tunazochekigi kwenye video.
 
Kweli binadamu tupo tofauti sana yaani unataka kumtenganisha mwanadam mwenzako kichwa na kiwiliwili kisa madaraka ambayo tayari uko nayo?
Ushawahi sikia wapapmbe nuksi kuliko mwenye mali?.
 
Jamani kwani kuna nini?
Mbona jamaa ni mtu masikini tu.

Hivi kweli watanzania hatuwezi kuwa kama Kenya?

Mimi Niko tayari Kwa maandamano.

Wewe je?
Mimi hata nikiitwa usiku nitaandama potelea mbali hata wakiniuwa.
 
Yaani mtu anachinjwa ndani ya hospital ya taifa? Nyumbani walimuumiza, akikimbizwa hospital, wauaji wasijali chochote wakamfuata na hospital kabisa ili wamuue. Duh. Hatuna serikali kabisa au ipo Basi yenyewe ndio inayafanya haya.
 
Back
Top Bottom