Umejipa walau sekunde moja kujua anachoelezea? Operation ilikuwa ngumu kila mtu anajua ila maelezo unayotoa ni tofauti kabisa.Ukishaingia ICU theater una mambo mawili tu, kufanikiwa kupona ama kufa, hata hivyo madaktari walijitahidi kadri walipoweza na hakuna namna unaweza kuwalaumu kwa sababu walifanikisha zoezi,na patients wanaendelea kusurvive. Mengine mwachie Mungu.
sisi bado jamani!Kwamba pacha wa pili naye hatunaye? Inasikitisha.
Kwa hakika kulikuwa na haja gani ya operation hii?
Kama uwezo wetu ungali hautoshi, kwa nini kujimwambafy bure juu ya maisha ya wengine?
Kwanini tusingeomba usaidizi wa beberu kwenye masuala nyeti kama haya ya maisha ya watu?
Kwa hakika Mhimbili tunastahili maelezo ya kina.
Source: Pacha wa pili aliyetenganishwa Muhimbili naye afariki
Inaelekea ilikuwa operation ngumu. Kama ini lilikuwa limeunganika basi uwezekena wa kupona ulikuwa siyo mkubwa.Kwamba pacha wa pili naye hatunaye? Inasikitisha.
Kwa hakika kulikuwa na haja gani ya operation hii?
Kama uwezo wetu ungali hautoshi, kwa nini kujimwambafy bure juu ya maisha ya wengine?
Kwanini tusingeomba usaidizi wa beberu kwenye masuala nyeti kama haya ya maisha ya watu?
Kwa hakika Mhimbili tunastahili maelezo ya kina.
Source: Pacha wa pili aliyetenganishwa Muhimbili naye afariki
If that was the case, then hata ulaya kwa beberu wasingeliweza nadhani!Inaelekea ilikuwa operation ngumu. Kama ini lilikuwa limeunganika basi uwezekena wa kupona ulikuwa siyo mkubwa.
Mabeberu hawana mambo ya kubahatisha na hawana majaribio kwenye miili ya watu.. wenzetu wapo serious saana.Ila tukubaliane tu hata hao mabeberu nao walianza hivi hivi. Hivyo wakati mwingine tuwaunge mkono madktari wetu kwa jitihada zao.
Sidhani kama walidhamiria kutokea kwa hayo mauti ya mabinti zetu wapendwa.
wacha kuwatusi madaktari wetu.Ile wametangaza kufanya operation hiyo nikajua tu wameamua kuwauwa Kisima...never trust tz Doctors tena mloganzila wale wanafunzi? Hell no.
Hivi nikikwambia kwamba among the doktaz waliohusika kukatisha kikatili maisha ya hawa, wamo hao mabeberu (tena frontline), utaamini?Mabeberu hawana mambo ya kubahatisha na hawana majaribio kwenye miili ya watu.. wenzetu wapo serious saana.
Ndio hawakudhamiria ila ukichuguza kuna kitu inabidi wakubaliane nacho tu... Taaluma haitosh kwa kada iyo, afu watoto wa field wengi saana wanakula vitengo kwenye mambo serious.
Haki nakuambia kama tungekuwa tunaamua kila kifo kichunguzwe kiundani... Madaktar wangepata kesi nyiiingi saaana.
Kutokua makini, uchakavu wa vifaa, kwenda na muda, na kupuuzia mambo ndio shida inapoanzia
You said it!Lengo lilikuwa kuvunja record,kuwa wa tatu/nne Africa Kwa kutenganisha watoto walioungana.
Hiki ulichokiandika hakina uhalisia hata kidogo. Hao mabeberu unao waamini, kabla ya kufikia hapo walipo na wenyewe walipitia hii hatua ya kuwaamini wataalam wao!Mabeberu hawana mambo ya kubahatisha na hawana majaribio kwenye miili ya watu.. wenzetu wapo serious saana.