Wanayo mambo ya kubahatisha, usiwatukuze saana.Mabeberu hawana mambo ya kubahatisha na hawana majaribio kwenye miili ya watu.. wenzetu wapo serious saana.
Ndio hawakudhamiria ila ukichuguza kuna kitu inabidi wakubaliane nacho tu... Taaluma haitosh kwa kada iyo, afu watoto wa field wengi saana wanakula vitengo kwenye mambo serious.
Haki nakuambia kama tungekuwa tunaamua kila kifo kichunguzwe kiundani... Madaktar wangepata kesi nyiiingi saaana.
Kutokua makini, uchakavu wa vifaa, kwenda na muda, na kupuuzia mambo ndio shida inapoanzia