Muhimbili, kulikuwa na haja gani ya upasuaji kutenganisha watoto mapacha?

Muhimbili, kulikuwa na haja gani ya upasuaji kutenganisha watoto mapacha?

Hiki ulichokiandika hakina uhalisia hata kidogo. Hao mabeberu unao waamini, kabla ya kufikia hapo walipo na wenyewe walipitia hii hatua ya kuwaamini wataalam wao!

Haikutokea tu from nowhere, wakawa ni mabingwa wa kila kitu. Hivyo wakati fulani, tukubali tu maumivu ili na sisi tufike nchi ya ahadi
Tubadili mfumo wa elimu ili watu waelewe topics badala ya kukariri
Kwa mfumu huu watu wanafauku kwa kusoma past papers hata ipite miaka mia hatutawafikia mabeberu.
 
Kwamba pacha wa pili naye hatunaye? Inasikitisha. Kwani kulikuwa na haja gani ya operation hii? Kama uwezo wetu ungali hautoshi, kwa nini kujimwambafy bure juu ya maisha ya wengine? Kwanini tusingeomba usaidizi wa beberu kwenye masuala nyeti kama haya ya maisha ya watu? Kwa hakika Muhimbili tunastahili maelezo ya kina kutoka kwenu.
Halafu wamemaliza tu upasuaji, wakaanza kujitangaza kwenye vyombo vya habari kuwa Upasuaji ulikuwa wa mafanikio makubwa.

Kwa maoni yangu kufanikiwa kwa matibabu yoyote iwe ya kutenganisha mapacha, upasuaji wa moyo nk, upimwe baada ya muda ambapo tutaona lile tatizo limeondoka na mtu amepona. Huwa naona operation ambazo mtu baada ya kuruhusiwa anakaa kidogo unasikia hayupo

Kuna msemo wa kisheria wanaita BUT FOR TEST au SINE QUO NON au EGG SHELL SCUL RULE
 
Inasikitisha sana. Wapumzike kwa amani malaika wa Mola hawa.
 
They must understand the principle of standing on others' shoulders. Hiyo reasoning yao kwenye masuala ya uhai ni immoral, evil, na criminal.
Nilifuatilia daktari wa bill clinton, kipindi bill anafanyiwa operation ya moyo, Daktari alikuwa anaongea kwa kujiamini na kujua kila hatua na akafanikisha operation.
 
Wakuu hawa mapacha wakuungana(conjoined twins) matibabu yao ni magumu sana,
Tafiti zinaonesha ni asilimia 60 tu ndiyo wanafanikiwa kuishi baada ya operation yaani kama wakifanyiwa operation watu 10 kati yao wataishi watu 6 tu...
Angalia hapa

Ndiyo maana ya umuhimu wa inputs za awaye yote, sembuse beberu?
 
Halafu wamemaliza tu upasuaji, wakaanza kujitangaza kwenye vyombo vya habari kuwa Upasuaji ulikuwa wa mafanikio makubwa.

Kwa maoni yangu kufanikiwa kwa matibabu yoyote iwe ya kutenganisha mapacha, upasuaji wa moyo nk, upimwe baada ya muda ambapo tutaona lile tatizo limeondoka na mtu amepona. Huwa naona operation ambazo mtu baada ya kuruhusiwa anakaa kidogo unasikia hayupo

Kuna msemo wa kisheria wanaita BUT FOR TEST au SINE QUO NON au EGG SHELL SCUL RULE
Eti, tunashukuru ^epereshen^ 🙂 imefanikiwa, ila mgonjwa yeye kafa!
 
Mapacha walioungana hata ulaya wapo , kuna wanaotenganishwa na kuna wanaoachwa wazeeke bila kuwagusa .
A human life is placed at very high value to take one , come with it very bold decision
Huko first class world operation kama hizi haziwei authorised na madaktari wa hopspitali moja .
Mkuu, hilo sio swala specific kwamba walivyoungana wengine ndivyo walivyoungana wengine.

Kuungana ni hitilafu ya kimaumbile hivyo kila moja ina changamoto zake, moja yaweza kuwa salama kwa walioungana na wengine wakawa sio salama....hivyo iwe Ulaya, America au Asia case hazifanani kamwe.
 
Mimi nilijua tu wale watoto watakufa.....nilicomment Facebook kwenye page uchwara watanzania wajinga wakaniijia kama mwewe...
 
Mkuu, hilo sio swala specific kwamba walivyoungana wengine ndivyo walivyoungana wengine.

Kuungana ni hitilafu ya kimaumbile hivyo kila moja ina changamoto zake, moja yaweza kuwa salama kwa walioungana na wengine wakawa sio salama....hivyo iwe Ulaya, America au Asia case hazifanani kamwe.
Hakuna anayepinga cases kutofautiana ila kwa kila given case kwa beberu ni better.
 
Wewe unaweza kubali mwanao afanyiwe majaribio?
Ni kweli mabeberu walianza hivyo..lakini nadhani kulikuwa na haja ya kuwapeleka huko ili madaktari wetu pia waende kujifunzia huko wakiwa chini yao.
Oparesheni ngapi zimefanyika kwa mara ya kwanza nchini na zilifanikiwa? Kuanzia moyo, nk.

Ukilijibu hili swali, basi utaelewa nilicho maanisha. Na una uhakika kama hao madaktari walioshiriki kuwafanyia upasuaji hao watoto hawakuwa na mafunzo?
 
Madaktari Walikuwa wanawafanyia mafunzo kwa vitendo.
 
Mabeberu hawana mambo ya kubahatisha na hawana majaribio kwenye miili ya watu.. wenzetu wapo serious saana.

Ndio hawakudhamiria ila ukichuguza kuna kitu inabidi wakubaliane nacho tu... Taaluma haitosh kwa kada iyo, afu watoto wa field wengi saana wanakula vitengo kwenye mambo serious.

Haki nakuambia kama tungekuwa tunaamua kila kifo kichunguzwe kiundani... Madaktar wangepata kesi nyiiingi saaana.

Kutokua makini, uchakavu wa vifaa, kwenda na muda, na kupuuzia mambo ndio shida inapoanzia

Sad[emoji27]
 
Ila tukubaliane tu hata hao mabeberu nao walianza hivi hivi. Hivyo wakati mwingine tuwaunge mkono madktari wetu kwa jitihada zao.

Sidhani kama walidhamiria kutokea kwa hayo mauti ya mabinti zetu wapendwa.
And here's where the complexity and delicacy of the whole procedure was. May they Rest in Peace.
 
Back
Top Bottom