Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee kifo hakikwepeki, uzuri wale wametoka theatre vizuri tu, suala la msingi ni kujiuliza je, kifo chao kimesababishwa na makosa katika huo upasuaji?Sio kwenye afya ya binadamu aiseee
nimekuandikia hapa nikiwa najua ninachoongea wewe unaongea theory mimi nime practice mambo kama haya haya japo nyanja tofauti kidogo wewe unaongwa sawa na wale wanaosema ilani.Siasa? Siyo anayeingiza siasa ni wewe? Walikuwa wameungana wakiwa hai. Sasa wametenganishwa na wakiwa wamekufa. Hudhani kuwa kupata usaidizi kutoka kwa awaye yote kuokoa maisha ya watoto hawa ilikuwa ni busara? Au ni ubinafsi wetu ule ule uliozoeleka wenye kupitiliza?
anyway kila mtu na jinsi anavyoona ila kwa bongo naona bado sanaMzee kifo hakikwepeki, uzuri wale wametoka theatre vizuri tu, suala la msingi ni kujiuliza je, kifo chao kimesababishwa na makosa katika huo upasuaji?
Operation ngapi za kutenganisha watu huko kwa waliotuzidi teknolojia nao wamekufa?
Naunga mkono hoja,wangewapeleka wale pacha Nje ya Nchi na wataalamu wetu wangeshiriki kuliko kufanyia majaribio watoto wa mwenzio..Kwamba pacha wa pili naye hatunaye? Inasikitisha. Kwani kulikuwa na haja gani ya operation hii? Kama uwezo wetu ungali hautoshi, kwa nini kujimwambafy bure juu ya maisha ya wengine? Kwanini tusingeomba usaidizi wa beberu kwenye masuala nyeti kama haya ya maisha ya watu? Kwa hakika Muhimbili tunastahili maelezo ya kina kutoka kwenu.
Yes, si lazima tufanane mitazamo, nakubaliana nawe bongo bado kiutaalamu na expirience pia.anyway kila mtu na jinsi anavyoona ila kwa bongo naona bado sana
Mbna Ile ya kule walikopelekwa uarabun ulifanikiwa.. don't put ur theories sema walijal kupata Jina kuliko gharama za maisha ya hao watoto. Ukwel ni Kuwa hili zoez lilikuwa gumu sana Kwa upande wao. Na ninadhan ndo po Yao ya kwanza Kama sikosei,? Kuna vitu vingi vilitakiwa kuangaliwa vizur.wacha kuwatusi madaktari wetu.
operation kwa twins walio ungana ni ngumu na hazina ufundi wala ubingwa ni kubahatisha tu, records nyingi zinaonyesha surgery iliyo fanywa kwa twins walio ungana wengi wao wamekufa.
mifano ipo mingi sana wala hawa wa hapa tz sio wa kwanza, kuna sugery ilifanywa kwa twins wa Irani walikuwa na umri wa miaka 29 ilifanyika mwaka 2003 baada tu ya surgery walikufa chini ya madaktari bingwa wa nchi zilizo endelea.
hivyo madaktari wetu wamejitahidi sana kadiri ya ujuzi wao wote, lkn jitihada haishindi kudura za mungu.
unakiri mapungufu unayarekebisha for future better performance1 Good!Kukiri upungufu ni mwanzo wa kuelekea kwenye ufanisi. Angalia huyu:
Mgonjwa adai fidia TMJ, Hindu Mandal
Lakini waliishi Miaka Zaidi ya 20yrs huoni ni Neema hyoKitaalam bado wangekuwa na uwezekano mkubwa wa kufariki wakiwa watu wazima, kama ilivyotokea kwa wale mapacha wawili wa Iringa; Maria na Consolata.
Hivyo upasuaji ulikuwa haukwepeki.
Kama aliye wekewa moyo wa nguruwe huko kwa mabeberu Marekani hatunaye na ndiko unakokokusifia kwamba hawana majaribio, basi Madaktar wetu wamethubutu na wameweza.Lengo halikua kuua bali kuwatenganisha kila mtu aishi kivyake na aenjoi privacy yke binafsiKwamba pacha wa pili naye hatunaye? Inasikitisha. Kwani kulikuwa na haja gani ya operation hii? Kama uwezo wetu ungali hautoshi, kwa nini kujimwambafy bure juu ya maisha ya wengine? Kwanini tusingeomba usaidizi wa beberu kwenye masuala nyeti kama haya ya maisha ya watu? Kwa hakika Muhimbili tunastahili maelezo ya kina kutoka kwenu.
Kila Kitu Kina level yake, Hyo Op Kwao ilikuwa kubwa Sana kuliko uwezo wao. Na kingne walitaka publicity, Leo yametokea ya kutokea Wacha walaumiwe tu.mijitu mingine mnatia hasira, mnaropoka ropoka tu.
sas unatak madaktari wawazuie wasife kwan wao ni miungu???
itoshe kusema madaktari wetu wamejitahidi, wabongo em kueni bc na tabia ya kuappreciate! leo mnawakebehi wataalam wetu alafu badae unapeleka mtambi wako hospitali ukatibiwe, nenda bac huko ulaya na marekan unapopasifia !
IDIOT!,FOOL!
Mapacha waliiungana hata ulaya wapo na wengine huachwa hadi wanazeeka kama possibilitues za fatallity baada ya operation ni kubwa.Ukishaingia ICU theater una mambo mawili tu, kufanikiwa kupona ama kufa, hata hivyo madaktari walijitahidi kadri walipoweza na hakuna namna unaweza kuwalaumu kwa sababu walifanikisha zoezi,na patients waliendelea kusurvive. Mengine mwachie Mungu.
Hakukuwa na hajaKwamba pacha wa pili naye hatunaye? Inasikitisha. Kwani kulikuwa na haja gani ya operation hii? Kama uwezo wetu ungali hautoshi, kwa nini kujimwambafy bure juu ya maisha ya wengine? Kwanini tusingeomba usaidizi wa beberu kwenye masuala nyeti kama haya ya maisha ya watu? Kwa hakika Muhimbili tunastahili maelezo ya kina kutoka kwenu.
Kwenye operesheni kama hiyo hata kwa mabeberu chance of survival huwa ni ndogo sanaMabeberu hawana mambo ya kubahatisha na hawana majaribio kwenye miili ya watu.. wenzetu wapo serious saana.
Ndio hawakudhamiria ila ukichuguza kuna kitu inabidi wakubaliane nacho tu... Taaluma haitosh kwa kada iyo, afu watoto wa field wengi saana wanakula vitengo kwenye mambo serious.
Haki nakuambia kama tungekuwa tunaamua kila kifo kichunguzwe kiundani... Madaktar wangepata kesi nyiiingi saaana.
Kutokua makini, uchakavu wa vifaa, kwenda na muda, na kupuuzia mambo ndio shida inapoanzia
Kwa jinsi walivyo ungana hata wasingefanyiwa operation wangefariki tu, ilikuwa ni suala la muda tuHakukuwa na haja
..Nilivyoona ile habari jana nikajisemea moyoni kuwa aheri wangebaki tu vilevile.
Wewe unaweza kubali mwanao afanyiwe majaribio?Ila tukubaliane tu hata hao mabeberu nao walianza hivi hivi. Hivyo wakati mwingine tuwaunge mkono madktari wetu kwa jitihada zao.
Sidhani kama walidhamiria kutokea kwa hayo mauti ya mabinti zetu wapendwa.