t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Tubadili mfumo wa elimu ili watu waelewe topics badala ya kukaririHiki ulichokiandika hakina uhalisia hata kidogo. Hao mabeberu unao waamini, kabla ya kufikia hapo walipo na wenyewe walipitia hii hatua ya kuwaamini wataalam wao!
Haikutokea tu from nowhere, wakawa ni mabingwa wa kila kitu. Hivyo wakati fulani, tukubali tu maumivu ili na sisi tufike nchi ya ahadi
Kwa mfumu huu watu wanafauku kwa kusoma past papers hata ipite miaka mia hatutawafikia mabeberu.