Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

Kama kazi huiwezi wape wengine waifanye aisee si unaombwa account yake mbona hutaki kutoa kama kweli humtaki mkuu...?

Usipotezee watu muda kukushauri kwa mtu ambaye unampenda aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu uzi stiki fanta hajatokea? uzi batili huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stiki fanta yuko buzzy na ndoa, kwan hajakuambia n mama mjengo sahivi.? Wee andaa baby showers, maan yuko ktl hatua za kupata mtoto kwa ku pandikiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu.

Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana, maana yeye anakaa Arusha na mimi Dar, so alipokuja Dar akaniomba tuonane, sikuona ubaya.

Tulipiga picha mbili za pamoja, tukanywa chai pale K T Shop na kuagana. Kila mtu akaendelea na mambo yake.

Jioni ilipofika akanitumia sms kwamba amenipenda sana na anataka niwe bwana wake, nikakataa. Nikamwambia mambo ya ushoga kwangu ni big no.

Ni miezi miwili sasa imepita lakini kila mara amekuwa akituma picha tulizopiga wote na kuandika maneno kwamba I miss you very much mu sweet husband.

Hii inanikera sana na mbaya zaidi simpati kwenye simu. Ndugu na marafiki zangu wameziona hizo picha mtandaoni, yaani wananiona tayari nimekuwa mfi**ji.

Je nifanyeje kumdhibiti baradhuli ms**ge huyu?
Kwani uongo?
 
Isijekuwa Huyo muhindi ni wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muambie aweke picha ya huyo muhindi hapa.
Vijana bhana wako wenyewe wanawapaparikia waarabu, wahindi na wazungu kwa kujifanya mabasha wao, wakishafaidika na malipo wanakimbia kurudi ktk hali zao za mwanzo.

Sasa huyu kayakanyaga kwa muhindi wa uswazi, atajua hajui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliwahi kusoma issue fulani Europe; Mwindi alikuwa ana biashara zake, mke na watoto wawili lakini alikuwa anaendeleza ushoga kwa siri. Machimbo yake yalikuwa ni kwenye website lakini baadhi wakawa wanapiga picha nae baadae wanazitumia kum blackmail awape pesa la sivyo wanazituma hizo picha kwa rafiki zake na familia.

Unaweza kumjua shoga by miles. Sasa wewe mpaka mmekutana na chai mkanywa ukashindwa kujua ni shoga.

Jamaa anakutumia messages kwamba anakupenda lakini kwenye simu hapatikani, Inawezekana umeingizwa kwenye utapeli sasa jamaa anavuta mkwanja la sivyo atatoa picha zote!

Wewe umeshafanywa ngombe wa maziwa!

Mwogopeni Mungu!
Sure kabisa yaan.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stiki fanta yuko buzzy na ndoa, kwan hajakuambia n mama mjengo sahivi.? Wee andaa baby showers, maan yuko ktl hatua za kupata mtoto kwa ku pandikiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
jomoni kwahiyo mbegu zitawekwa kupitia zizini?!!! 😁
 
Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu.

Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana, maana yeye anakaa Arusha na mimi Dar, so alipokuja Dar akaniomba tuonane, sikuona ubaya.

Tulipiga picha mbili za pamoja, tukanywa chai pale K T Shop na kuagana. Kila mtu akaendelea na mambo yake.

Jioni ilipofika akanitumia sms kwamba amenipenda sana na anataka niwe bwana wake, nikakataa. Nikamwambia mambo ya ushoga kwangu ni big no.

Ni miezi miwili sasa imepita lakini kila mara amekuwa akituma picha tulizopiga wote na kuandika maneno kwamba I miss you very much mu sweet husband.

Hii inanikera sana na mbaya zaidi simpati kwenye simu. Ndugu na marafiki zangu wameziona hizo picha mtandaoni, yaani wananiona tayari nimekuwa mfi**ji.

Je nifanyeje kumdhibiti baradhuli ms**ge huyu?
Mcharaze mbarati
 
Mtu hawezi kusafiri kutoka Arusha bila ishu yeyote daah Dunia imeharibika Pisi za kumwaga hizi mpaka mnatafuta vitu vingine vya ajabu ajabu...
 
Hiyo ndiyo faida ya kuweka mapichapicha mtandaoni

Ova
 
Unafahamiana na mwanaume mwenzako mtandaoni na kutaka kuwa marafiki bila sababu yoyote,na mnakutana na kunywa chai pamoja na kupiga picha.........alikuwa anategemea nini?

Huyu keshakula/kuliwa
 
Mchukulie hatua za kisheria achana na hao wapumbavu wanaokwambia umle , epuka hio laana mkuu hao wanaokushauri Ivo ni wapuuzi tu
 
Back
Top Bottom