Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
🤣🤣🤣🤣🤣
Na mvua hii popote kambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mvua hii popote kambi
USA kWa Mzee Biden kupiga kimoko wodini zamu za usiku ni kawaida Sana na hakuna anayejali....Ndo wafanyie hospitalini tena wodini? Wangekua wanafanyia gesti au vyumbani kwao hakuna ambae angehangaika nao.
Wapo wanaoliwa sana. Nurse na Police[emoji119][emoji119]Kuliwa ni wote tu wanaliwa.
Kwani yule mama mwenye matako makubwa chakula ya mabosi aliyeko pale TANA makao makuu dodoma anasemaje?
Nani alikuwa anamfundisha mwenzake?Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini.
Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku.
Mmoja wa wahudumu hao alikuwa kwenye mafunzo ya vitendo na mwenzake alikuwa ni mtumishi wa hospitali hiyo.
Chanzo : CG Fm
wapo wanaotunguana maofisini na hawaoni aibuIko siku wataenda kugegedana hadi mochwari.
Nyegezi za kindezi hizi.