Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

Nani alikuwa anamfundisha mwenzake?
 
Mambo ya night shift...

Ni wanafanya mbele ya wagonjwa au kwenye chochoro ila kelele ndiyo zinasikika?
 
haya maisha haya........unaambiwa wiki hii yote niko - "NIGHT SHIFT" .........duhhhh....na unampeleka mwenyewe unamuendesha ukimshusha na buuuusu maridadi..............kumbe kuna kashonzi anamkazia kwenye kale ka chumba ka kugawia dawa wagonjwa.....pambaaf sana....
 
Siku chache baada ya mganga wa Hospitali ya Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Irene Apina kusimamishwa kazi kwa tuhuma za kukataa kumpa matibabu mtoto wa miaka mitano, wauguzi wawili wa hospitali hiyo wamesimamishwa kazi kwa vitendo vya utovu wa nidhamu.

Watumishi hao, mmoja anatuhumiwa kufanya mapenzi wodini na daktari ambaye yupo katika mafunzo kwa vitendo huku mwingine akituhumiwa kuwa kinara katika utoaji wa mimba.

Katika kikao chake na watumishi wa sekta ya afya, Mkuu wa Wilaya ya Kaliua (DC), Paul Chacha aliwasimamisha kazi watumishi hao.
 
Kuna uzi humu ulihoji uadilifu na lengo la ufipi uliopitiliza kwa sketi za manesi wa kike kwa hizi kada.

Huenda mtego umemnasa aliyemo na asiyekuwemo katika malengo.
 
Aibu kubwa......

Mh.DC Chacha Kongole kwa maamuzi hayo.......

Ifikie mahali watu wasizizoee KAZI kama wanavyozoea MAJUMBA yao.......


#Siempre JMT
 
Huh!! Kuna watu wana genye sio za nchi hii!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…