Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

USA kWa Mzee Biden kupiga kimoko wodini zamu za usiku ni kawaida Sana na hakuna anayejali....
Hii kazi Ina stress Sana, na ngono ni tiba nzuri ya msongo wa mawazo!
Ooh kumbe!
 
Duh yaaniii miguno ya utamuu wa... ilisikika hadi huku wodini wagonjwa walikoo hahaaaaaa ..

....Ngoswe penzi kituvu cha uzembeeee .... mapenzi/mahusiano eneo la kazii ni changamoto sana kwa kizazi cha sasa chenye damu inayochemuka mahali popote
 
Si ndio mafunzo kwa vitendo hayo?
Au walitakaje,
We unategemea nini mke na mme pamoja wawili tu sehemu peke usiku
Shetani hawezi waacha
 
Huyo mkuu wa wilaya anayefukuza wataalam adimu yeye amesoma mpaka level gani?
Wivu tu.
Kweli mtu utadiriki kufanya mapenzi wodini wakati Kuna vile vyumba vya manesi?
Sasa hao wagonjwa acha wafanye umbea madaktari wafukuzwe tuone watatihiwa na Nani.
 
Siwezi nikaoa mwanamke nurse asee...

Imagine we unaoa halafu mtu mwingine anakupangia siku za kulala nae.
Kama nilivyoshuhudia hospitali moja Dar.
Wewe unagharamikia kula mpaka chupi, halafu unaachwa usiku ukiumwa na mbu kumbe Kuna mtu anaivua chupi hiyo hiyo ya Bei mbaya uliyomnunulia mkeo.
 
Sasa hao wagonjwa acha wafanye umbea madaktari wafukuzwe tuone watatihiwa na Nani.
Potelea Pweteee!!
Hawana huruma hao, wenzao wagonjwa halafu bado wanawaongezea maumivu kwa kuwatamanisha!!
 
@Moderator Kichwa cha Uzi kina Makosa makubwa sana.

Kimeandikwa" Wauguzi wawili wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini"

Ukisoma ndani ya Habari kama ilivyolipotiwa na Mwananchi, watu hao ni Mhuhudumu wa afya na Daktari( aliyeko kwenye Mafunzo).

Sasa hapo utaona hao wote si wauuguzi.

Hicho chanzo kingine ya habari, wao wamekwisha rekebisha na kuomba radhi.

Nawaomba na ninyi muufanyie masahihisho huu uzi, kuuacha hivi unazidi kupotosha, na kuchufua taaluma ya Uuguzi.
 
Moderator Kichwa cha Uzi huu nilio screenshoot hapa chini,kina Makosa makubwa sana.

Kimeandikwa" Wauguzi wawili wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini"

Ukisoma ndani ya Habari kama ilivyolipotiwa na Mwananchi, watu hao ni Mhuhudumu wa afya na Daktari( aliyeko kwenye Mafunzo).

Sasa hapo utaona hao wote si wauuguzi.

Hicho chanzo kingine ya habari, wao wamekwisha rekebisha na kuomba radhi.

Nawaomba na ninyi muufanyie masahihisho huu uzi, kuuacha hivi unazidi kupotosha, na kuchufua taaluma ya Uuguzi.

Zile sare zao zinawachora mpaka shida kwetu wanaume kamili.
 
Tunalalamikia mambo ya kipuuzi puuzi haahaa natania😂😂😂
 
Hivi kwanini kusex kiwiziwizi inakuwaga tamu kuliko mkiwa huru mfano msex kwenye kichaka, darasan, ila hao itakuwa bidada alikuwa analialia😁😁😁
 
huyo DC aache kutafuta umaarufu wa kisengerema kuna tume ya watumishi wa afya, kuna mwajiri wao ambaye ni DED sasa inakuaje mtu mmoja tu aliyeteuliwa tena kwa sifa anazojua mteuzi wengine hatuzijui awe na mamlaka ya kufukuza kazi mtu aliyeingia kazini kwa sifa zinazotambulika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…