Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

Huyo mkuu wa wilaya anayefukuza wataalam adimu yeye amesoma mpaka level gani?
Wivu tu.
Kweli mtu utadiriki kufanya mapenzi wodini wakati Kuna vile vyumba vya manesi?
Sasa hao wagonjwa acha wafanye umbea madaktari wafukuzwe tuone watatihiwa na Nani.
Wagonjwa huwa wanamambo ya ajabu sana, unaweza wahudumia vizuuuri ukifanya kakosa kadogo tu masikio yamesimama alafu unakuta ni kijiji kijiji kweli ambapo wakipeleka mtumishi mwingine anakimbia hizi kazi bhana.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]ahaaa.jamani sio sawaa.
Au wagonjwa walikuwa wanaona wivu wakisikia sauti
 
Huyo muuguzi huenda akili yake iko kwenye papuchi....anawaza kwa kutumia papuchi..na hata kipindi anasoma chuo papuchi yake aliitumia kuwagawia waalimu wake ili ashinde mitihani ya semister......HUYU MUUGUZI APEWE A.K.A YA PAPUCHI MUUGUZI
Tuache utani papuchi ni tam wewe na papuchi ndio zinatufanya tutafute wewe, unafikiri bila papuchi utaishi? Papuchi ndio kila kitu.
 
Wafukuzwe tu maana hawana akili, wanafanyaje mapenzi kwenye eneo la kazi hadi kuamusha hisia kwa wagonjwa.......au ndo vyuma vimekaza hadi watu hawawezi kwenda sehemu za faragha.
 
Nakuonaga una busara sana na mawani yako kumbe na ww ni walewale maji mara moja
Kama unashindwa kumuheshimu mtu ambaye hukuwahi hata kumuona nadhani hata unapoishi hauna heshima relax sio kila kitu uchukulie serious
 
Daktari huyo aliye mafunzoni anatuhumiwa kufanya mapenzi wodini ambapo inadaiwa wagonjwa wamekuwa wakikerwa na kitendo hicho na kuanza kulalamika.
hao wagonjwa kweli wanaumwa wanapata wapi muda wa kuwapiga chabo hao washika roho zao
 
Tabia ya wafanyakazi sekta ya afya kufanya uzinifu wakiwa kazini imekuwa komavu.

Nafikri sasa ifike hatua serikali kuongeza nguvu ktk kudhibiti vitendo vya utovu wa nidhamu makusudi.
 
Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku.[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Hajawafukuza kazi ametoa maagizo ya kusimamishwa kazi.

Mkuu wa wilaya ni mwakilishi wa serikali katika halmashauri husika ambaye ana wajibu wa kusimamia utekelezaji wa shughuli za serikali za mitaa na serikali kuu ktk eneo lake

Ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na anao wajibu wa kusimamia maadili ya watumishi wa umma ktk eneo

Kwa lugha rahisi DC ni kama mwakilishi wa Rais ktk eneo la wilaya yote amavyoona mambo hayaendi inavyotakiwa ana wajibu wa kuyashughulikia.

Mtumishi wa sekta ya afya ukienda kinyume na kazi yako DC anao uwezo wa kumwagiza Mwajiri wako kuchukua hatua.
 
Na waume zao huko nje huwa wanatumia nafasi hizo hizo vizuri Sana.. ..
 
sema na hizi uniform za manesi zinachangia kusababisha ulaji wa tunda,wengi wanazibana cio wagonjwa na madaktari wanatamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…