Ivan Stepanov kwahiyo hapo inawezekana kuna love affairs?Yan kuna watu wanaumizwa na vitu vidogo sanaa. Huyu akipigwa tukio la kufumania pumzi si itakata? ππ.
NB.
Hongera kwakua hii inaonyesha bado ni innocent kwenye love affairs. Angekua veteran wala asingepata shida
Ofcz huyo umempenda. Jjue mapemz bwana (mara nyingi yale ya kwel) huwa unajikuta yameshapenya tu. Yan unajikuta tu mtu kashakuweka mikono juu, umetekwa. Ukimkosa hata kumuona roho inakuuma.Ivan Stepanov kwahiyo hapo inawezekana kuna love affairs?
Sawa. Na sababu ya yeye huyu dada kunibadilikia ni nini? Kama yeye pia hakunipenda.Ofcz huyo umempenda. Jjue mapemz bwana (mara nyingi yale ya kwel) huwa unajikuta yameshapenya tu. Yan unajikuta tu mtu kashakuweka mikono juu, umetekwa. Ukimkosa hata kumuona roho inakuuma.
Ni love hiyo parcee
Hizo ramli mi siwez kupiga. Sio expert wa hisia za mwanamke ndio maana nime stick upande wako kama mwanaume.Sawa. Na sababu ya yeye huyu dada kunibadilikia ni nini? Kama yeye pia hakunipenda.
Nimekupata mkuuHizo ramli mi siwez kupiga. Sio expert wa hisia za mwanamke ndio maana nime stick upande wako kama mwanaume.
Maana unaweza jidanganya kama yeye kakupenda kumbe mwenzako, ulilw ulikuua mpango wa kwanza, sasa ame initiate phase 2 ili ujae kwenye 18 zake a apply kausha damu principle.
Hapendwi mtu mdogo angu uchumi.
Lakini inaweza ikawa na sababu zingine zinachangia
Sawa mkuu
Weee yanarun dunia
Za kukuingia kwa kukuchangamkia.Mbinu zake zipi? Kiranga
Naungana nawewe mkuuHapo mgahawani unaenda kula ,au unaenda kutaniwa(kuchangamkiwa) ,ni wazi ulikuwa unafurahia utani.
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Roho inamuuma hatarHisia nae unazo ila hujitambui maana amekata mazoea tu ushaanza kujamba kwenye maji[emoji23]
Unamuomba nani huku jf ina maana wewe akili huna umuulize huyo ambaye hakusalimii?Ni kweli hainiumizi dada rubii . Ninachoomba kujua inaweza kuwa ni sababu gani huyu dada imemfanya amebadilika.