Muhudumu wa Restaurant hanichangamkii tena siku hizi!

Muhudumu wa Restaurant hanichangamkii tena siku hizi!

You've simply been replaced, as attention has now been directed somewhere else !!!
 
Kama alikupenda kweli, sasa hivi anajaribu kupunguza mazoea na ww ili asizidi kuumia zaidi coz anaona huna time nae, au labda anatafuta attention yako kwa njia nyingine yaani ww ndio uanze kumtafuta sasa.
 
Wadau naomba mnisaidie kudadavua hili jambo ninaliliona.

Kuna mgahawa kuanzia kama miaka miwili nyuma hadi hivi leo huwa ninakwenda kila siku kupata chakula cha mchana au mara nyingine kuchukua takeaway.

Kuna DADA ni mmoja wa wahudumu kwenye huo mgahawa ambao ni mkubwa tu katika huu mji ninaokaa. Huyu dada siku za nyuma alikuwa akiniona nimefika, ananichangamkia na kunitania tania mbele ya baadhi ya wafanyakazi wenzake wa kike utani wa kama vile mimi ni "jamaa yake" ila mimi sikuwa na hisia nae zozote wala kumwambia lolote kutokana na utani utani wake, kwasababu nikawa nachukulia anachoifanya ni utani tu na wala sio serious anachofanya!

Sasa siku za karibuni naona huyu dada kabadilika, hataki ukaribu na mimi wala kuongea na mimi tofauti na ilivyokuwa hapo nyuma.
Mfano, kuna mara mbili nimefika akaja mezani kunisikiliza halafu, oda ya chakula nikaletewa na muhudumu mwenzake, kitu ambacho kikanionesha ni dhahiri kuna kitu kinachoendelea ndani ya nafsi yake huyu dada.

Naomba kujua ndugu zangu, huyu dada anaweza kuwa amebadilika kwasababu gani?

Nauliza tu, ingawa mimi hili jambo haliniumizi kichwa kwasababu hata sina hisia nae zozote. Na hata kama huyu dada ana hisia na mimi, kwenye huo mgahawa sina mazoea wala ukaribu na muhudumu mwingine yeyote wa kike kusema labda amenihisi nina uhusiano nae kisha yeye ndio akaona wivu au kuwa na kama chuki.

Ahsanteni.
wamepata bwana, now anajiheahimu
 
Mtu kashaondolewa Attention anaanza kupagawa huku, sisi wanaume huwafanyia hivi wanawake ili wapagawe kwa kukosa Attention tutimize lengo fulani. Ila wewe mwanaume ndio umefanyiwa na mwanamke na ulivyokuwa mjinga umepagawa.

Huyo mwanamke alihudhuria kikao cha week iliyopita cha wanaume na kuiba notes wewe ulijifanya kutega unaona sasa.
😂😂😂
 
watu wa jf mnajiona perfect sana kwa kila kitu ety,
jaman hili ni jukwaa ,mtu kama hana cha kujibu si asome kmya kmya apite kushoto

mtu anayekereka ilibidi awatafute maadmin wenyew walioruhusu hizi post kuonekana.

turudi kwenye topic ,mtoa mada nakushauri usimuulize wala kuonyesha sura ya kusikitika ww smile tu na endelea na mambo yako akijirud sawa asipojirud pia sawa vile vile.
 
Ishu ya miezi mitano nyuma unajibu kama Leo, kwa ishu ya mtoa mada zaidi ya mieI mitano kwa akili zako situation bado itakuwa vilevile.

Mkimbiwa mnajaza Server muelewe.
 
Ishu ya miezi mitano nyuma unajibu kama Leo, kwa ishu ya mtoa mada zaidi ya mieI mitano kwa akili zako situation bado itakuwa vilevile.

Mkimbiwa mnajaza Server muelewe.
tuanze na akili yako,
neno mieI ndo nn??? mwanaume unakurupukaje halafu ishu ya situation ilitakiwa ajibu mhusika au na ww ulikuwepo.

la pili
utaratibu wa kupangiana kujibu nyuzi umeutoa wapi?

la mwisho
mwanaume mwenzako wakati anatengeneza hili jukwaa alikwambia uwe unafatilia wanaojaza server,au umejipa kazi isiyokuhusu(kiherehere)
 
Back
Top Bottom