Inawezekana. Ngoja nione mwisho wake.
Unajua kwenye vita ya kuchuniana kati ya mwanamke na mwanaume, mbeleni mwanamke huwa anasalimu amri na kuomba suluhu. Wenzetu wana mioyo miepesi.
Una miaka mingapi mkuu?Wadau naomba mnisaidie kudadavua hili jambo ninaliliona.
Kuna mgahawa kuanzia kama miaka miwili nyuma hadi hivi leo huwa ninakwenda kila siku kupata chakula cha mchana au mara nyingine kuchukua takeaway.
Kuna DADA ni mmoja wa wahudumu kwenye huo mgahawa ambao ni mkubwa tu katika huu mji ninaokaa. Huyu dada siku za nyuma alikuwa akiniona nimefika, ananichangamkia na kunitania tania mbele ya baadhi ya wafanyakazi wenzake wa kike utani wa kama vile mimi ni "jamaa yake" ila mimi sikuwa na hisia nae zozote wala kumwambia lolote kutokana na utani utani wake, kwasababu nikawa nachukulia anachoifanya ni utani tu na wala sio serious anachofanya!
Sasa siku za karibuni naona huyu dada kabadilika, hataki ukaribu na mimi wala kuongea na mimi tofauti na ilivyokuwa hapo nyuma.
Mfano, kuna mara mbili nimefika akaja mezani kunisikiliza alafu, oda ya chakula nikaletewa na muhudumu mwenzake, kitu ambacho kikanionesha ni dhahiri kuna kitu kinachoendelea ndani ya nafsi yake huyu dada.
Naomba kujua ndugu zangu, huyu dada anaweza kuwa amebadilika kwasababu gani?
Nauliza tu, ingawa mimi hili jambo haliniumizi kichwa kwasababu hata sina hisia nae zozote. Na hata kama huyu dada ana hisia na mimi, kwenye huo mgahawa sina mazoea wala ukaribu na muhudumu mwingine yeyote wa kike kusema labda amenihisi nina uhusiano nae kisha yeye ndio akaona wivu au kuwa na kama chuki.
Ahsanteni.
Kwani wanawake wapoje nami nataka kujua rubiiHuwajui wanawake wewe
Vijana wamekuwa malofa sana siku hizi [emoji16]Unamuomba nani huku jf ina maana wewe akili huna umuulize huyo ambaye hakusalimii?
Ni somo panaaaKwani wanawake wapoje nami nataka kujua rubii
Nimekupata dada yangu Namshakende inanibidi nimuulizeMuulize yeye anafahamu sababu, usitupotezee muda hapa!
Kuna vijana ni wajinga wajinga Sana.
Watu kama nyie ndo mnafanya jua liwake sana dar hii,sasa mtoto anajiangusha ndani ya 18,unapaisha tuta?Mkuu mwanamke akikuonyesha anakupenda nextime usimuignore...ishawahi kunikuta nikiwa chuo nikikumbuka huwa inaniuma sana aisee she was very cute ila ni ule uoga kwamba sina pesa sitaweza kumuhandle ndo kilichoniponza,ila huwa nataman siku zirudi nyuma kwakwel! Alionyesha wazi kuwa ananipenda ila wapi sikujiongeza kilichofata sasa akaanza kunichukia waziwazi[emoji23]
Ivi ww n mgen wa mapenz,Wanawake au nn yaan?.Jidanganye Sasa,mwanamke akikuchukia anakuchukia mazimaaa yaan ukiona karudi kwako jua kunakitu anakitafuta hana pa kukipata.Inawezekana. Ngoja nione mwisho wake.
Unajua kwenye vita ya kuchuniana kati ya mwanamke na mwanaume, mbeleni mwanamke huwa anasalimu amri na kuomba suluhu. Wenzetu wana mioyo miepesi.
Holy shit, who's your sister?Nimekupata dada yangu Namshakende inanibidi nimuulize
Kashapata anaye mzingatiaNi kweli hainiumizi dada rubii . Ninachoomba kujua inaweza kuwa ni sababu gani huyu dada imemfanya amebadilika.
Bro....kuliko kuangaika hapa na majibu...yanayo changanya changanyaWadau naomba mnisaidie kudadavua hili jambo ninaliliona.
Kuna mgahawa kuanzia kama miaka miwili nyuma hadi hivi leo huwa ninakwenda kila siku kupata chakula cha mchana au mara nyingine kuchukua takeaway.
Kuna DADA ni mmoja wa wahudumu kwenye huo mgahawa ambao ni mkubwa tu katika huu mji ninaokaa. Huyu dada siku za nyuma alikuwa akiniona nimefika, ananichangamkia na kunitania tania mbele ya baadhi ya wafanyakazi wenzake wa kike utani wa kama vile mimi ni "jamaa yake" ila mimi sikuwa na hisia nae zozote wala kumwambia lolote kutokana na utani utani wake, kwasababu nikawa nachukulia anachoifanya ni utani tu na wala sio serious anachofanya!
Sasa siku za karibuni naona huyu dada kabadilika, hataki ukaribu na mimi wala kuongea na mimi tofauti na ilivyokuwa hapo nyuma.
Mfano, kuna mara mbili nimefika akaja mezani kunisikiliza halafu, oda ya chakula nikaletewa na muhudumu mwenzake, kitu ambacho kikanionesha ni dhahiri kuna kitu kinachoendelea ndani ya nafsi yake huyu dada.
Naomba kujua ndugu zangu, huyu dada anaweza kuwa amebadilika kwasababu gani?
Nauliza tu, ingawa mimi hili jambo haliniumizi kichwa kwasababu hata sina hisia nae zozote. Na hata kama huyu dada ana hisia na mimi, kwenye huo mgahawa sina mazoea wala ukaribu na muhudumu mwingine yeyote wa kike kusema labda amenihisi nina uhusiano nae kisha yeye ndio akaona wivu au kuwa na kama chuki.
Ahsanteni.
[emoji28][emoji28]Halikuumizi kichwa lakini umelianzishia uzi hapa???