TANZIA Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia

Apumzike kwa amani

ILA hawa wanaoremba dada zetu siku hizi aisee

Wamekandika uso mzima chokaa hadi mtu anapoteza uasilia wake
 
Apumzike kwa Amani.
Innalillahi wainna ilayhi rajiuun
 
hata uishi vipi utakufa tu
 
Sasa kwa amani kumejaa halafu ndio tukaishi huko ....labda upendo japo nae naskia amechoka siku hizi pesa ndio habari na hana muda!
 
Kwahiyo baada ya kukukataa ukamuona amevimba! Hakukupenda, ona sura lako baya!
 
I can feel it mkuu. Binafsi niliwapoteza wazazi wote 2017 kwa ajali na isitoshe nimezaliwa peke yangu. No Dada No Kaka aiseee kama sikuchizika basi Sitokuja kuchizika. Mungu ni Mwema Sana Niko Ngangari Kamili Gado. Apumzike kwa Amani Tesaaa wa Huba
 
Mwigizaji Mkongwe na Maarufu nchini Tanzania aitwae Grace Mapunda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es salaam alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Aziz Ahmed ambaye ni Muongozaji wa Tamthilia ambaye alikuwa akifanya naye kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu “Ni kweli amefariki usiku wa kuamkia leo Mwananyamala Hospitali, alikuwa anasumbuliwa na nimonia”

“Hajaumwa muda mrefu aliletwa Hospitali juzi kisha jana tukaja kumuona ila usiku wa kuamkia leo ndio hivyo tena, msiba upo nyumbani kwake Sinza Vatcan”

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…