Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano kwa kosa la kuua swala

Kumbee ndio najua ilikua kwenye party ya birthday ya Katrina Kaif ndo ugomvi ulipoanza

Ila sasa hivi hakuna urafiki ule wa mwanzo
 
Jamaa akikasirika ndo utaona raha!ila simpendi sunny deo anaeinua gari na mkono 1
Hahaha Kuna jamaa zangu walikuwa wanamuita mbabe wa india.

Kuna filamu alicheza kama mtukutu/mbabe aliyesurrender kwa penzi la kimwana.

Ya hii filamu tulikuwa tunaishangaa hasa watu kufa na kuzaliwa tena.

Ilikuwa kama maajabu kwetu lakini watu tuliipenda sana.
Wahindi wanna imani ya Reincarnation (kuzaliwa tena)[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nzuri tu wako na Kajol
 
Nilikua njiani kidogoo

Chipukizi ambao ni tishio in

Arjun Kapoor
Sidhart Malhotra
Varun dhawan

Wa kike wamo

Alia Bhat
Disha Patani
Na yupo ameigiza film Pink nimemsahau
Kwakweli hapa nipo nyuma kweli nimeshindwa hata kuwapata labda nijipange kuwatazama.

Vipi Shahid kapoor yeye tunamuweka katika kindi gani...?
 
Kwakweli hapa nipo nyuma kweli nimeshindwa hata kuwapata labda nijipange kuwatazama.

Vipi Shahid kapoor yeye tunamuweka katika kindi gani...?
[emoji1] [emoji1] polee

Shaahid Kapor sio new comer tena!!!
Hao niliokutajia ndo wa miaka hii hapa
 
Wahindi wanna imani ya Reincarnation (kuzaliwa tena)[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nzuri tu wako na Kajol
Hahaha walahi..

Baada ya kusambaa kwa utandawazi nilijaribu kufatilia Hinduism nikaona wao kwao kawaida hayo makitu.
 
Mimi si chaguo langu kabisa.
Ila kuna Song la Shahrukh na Kajol hapana chezea ilo limeganda kabisa.
Unakumbuka maneno yaliyokuwa yanasikika kati ya king khan na Ajay devgan..?

Manaake king khan kacheza sana filamu na kajol mke wa Ajay.
 
Kumbee ndio najua ilikua kwenye party ya birthday ya Katrina Kaif ndo ugomvi ulipoanza

Ila sasa hivi hakuna urafiki ule wa mwanzo

Wapo vizuri tu mbona, wameshakua watu wazima wanaheshimiana vizuri tu, Hata SRK na Aamir pia wanelewana vizuri tu siku hizi
 
Unakumbuka maneno yaliyokuwa yanasikika kati ya king khan na. Ajay devgan..?

Manaake king khan kacheza sana filamu na kajol mke wa Ajay.
Hapana ila najua watu wengi tulihis Kajol na SRK ni couple!

Mimi mwenyewe nilijua make na mume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…