Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Aiseeh!kwa wahindi daah!Uday ChopraSasa weye nani humpendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeh!kwa wahindi daah!Uday ChopraSasa weye nani humpendi
Kumbee ndio najua ilikua kwenye party ya birthday ya Katrina Kaif ndo ugomvi ulipoanzabaada ya sharukh kukataa Salman ilmuuma sana, Nakumbuka walikua kwenye party Salman akapiga pombe mpaka alafu akaanza kutoa maneno mbele zawatu, nakumbuka ilikua kijividio unamsikia anasema unajiona Super star anarejea rejea. ndipo shahrukh alipompiga kijembe kuhusu Aishwarya ndiopo salman alipomvamia.
Hahaha Kuna jamaa zangu walikuwa wanamuita mbabe wa india.Jamaa akikasirika ndo utaona raha!ila simpendi sunny deo anaeinua gari na mkono 1
Naikumbuka sanaaaaaTupo Mkuu,japo siku zakaribuni nimekuwa mvivu wakufatilia Bollywood movies..
Unaikumbuka hii filamu salumn Khan & king khan.
View attachment 736525
[emoji1] [emoji1] [emoji1] naipata nshaiona sanaaa!!!huyo Dada anaitwa Karisma KapoorHahaha Kuna jamaa zangu walikuwa wanamuita mbabe wa india.
Kuna filamu alicheza kama mtukutu/mbabe aliyesurrender kwa penzi la kimwana.
View attachment 736530
Ya hii filamu tulikuwa tunaishangaa hasa watu kufa na kuzaliwa tena.Naikumbuka sanaaaaa
Karannn!!!Arjun!!
Aiseeh!kwa wahindi daah!Uday Chopra
Wahindi wanna imani ya Reincarnation (kuzaliwa tena)[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nzuri tu wako na KajolYa hii filamu tulikuwa tunaishangaa hasa watu kufa na kuzaliwa tena.
Ilikuwa kama maajabu kwetu lakini watu tuliipenda sana.
Ya hii filamu tulikuwa tunaishangaa hasa watu kufa na kuzaliwa tena.
Ilikuwa kama maajabu kwetu lakini watu tuliipenda sana.
Sawa kabisa na Dhoom ndo kidoogo alionekana walau!hahaha, jamaa bomu kabisa. Nyota ya baba yake ndio iliokua inamueka mjini
Kwakweli hapa nipo nyuma kweli nimeshindwa hata kuwapata labda nijipange kuwatazama.Nilikua njiani kidogoo
Chipukizi ambao ni tishio in
Arjun Kapoor
Sidhart Malhotra
Varun dhawan
Wa kike wamo
Alia Bhat
Disha Patani
Na yupo ameigiza film Pink nimemsahau
[emoji1] [emoji1] poleeKwakweli hapa nipo nyuma kweli nimeshindwa hata kuwapata labda nijipange kuwatazama.
Vipi Shahid kapoor yeye tunamuweka katika kindi gani...?
Hahaha walahi..Wahindi wanna imani ya Reincarnation (kuzaliwa tena)[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nzuri tu wako na Kajol
Usije tu kusingizia bangi!!labda umevuta mavi wewe!mbona midogo sana ?? wangempa ata 20 poa tu ...inakuaje auwe mnyama wakati binadam wapo.
Sana tu!kwao ni imani yao haswaa !Hahaha walahi..
Baada ya kusambaa kwa utandawazi nilijaribu kufatilia Hinduism nikaona wao kwao kawaida hayo makitu.
Unakumbuka maneno yaliyokuwa yanasikika kati ya king khan na Ajay devgan..?Mimi si chaguo langu kabisa.
Ila kuna Song la Shahrukh na Kajol hapana chezea ilo limeganda kabisa.
poa mkuu ubalikiwUsije tu kusingizia bangi!!labda umevuta mavi wewe!
Kumbee ndio najua ilikua kwenye party ya birthday ya Katrina Kaif ndo ugomvi ulipoanza
Ila sasa hivi hakuna urafiki ule wa mwanzo
Hapana ila najua watu wengi tulihis Kajol na SRK ni couple!Unakumbuka maneno yaliyokuwa yanasikika kati ya king khan na. Ajay devgan..?
Manaake king khan kacheza sana filamu na kajol mke wa Ajay.
John abraham ndio kifaa sasa hivi bollwood.
Kuna muvi kama rocky handsom na shootout at wadala ni shida