TANZIA Muigizaji na Rappa, Earl Simmons maarufu DMX amefariki Dunia akiwa na miaka 50

Unaongea utopolo gani wewe bwenga!

Lets celebrate maisha ya Dogman X.

Anakwambia....

Either let me fly or give me death...
Let my soul rest, take my breath...
If I don't fly I'ma die anyway...
I'ma live on, but I'll be gone any day.
 
R
Rapa pekee aliyekuwa yupo hai ambaye alikuwa old school na mjuba kweli kweli, hawa wa siku hizi kazi yao kuuza sura tu, ila hili sembe jamani sijui kwanini watu wanalidekeza.
 
Ruff riders Anthem nilikuwa najiona mgumu na kauzu hilo ngoma likipigwa bilicanas enzi hizo.RIP Maaaaan.
Dah Msela alikua anatoa vinu hasa alafu anakufa kizembe tu,
Snoopy dogg yupo anadunda tu,
Project kibao
Dr Dre juzi ndo nae alizama corma baada ya mkewe kulamba kila kitu.
50 Cent mjanja mwanamke kamsue alizama na kuandika kafilisika akanunua kabajaj kaenda nako court
Piga kesi lawyer kasimamia mteja wake hana kitu
Kumbe ana hela ndefu sana🤣🤣🤣.
Lecheminduroi.
Ja Rule yupo naona anadunda tu slow slow.
Hawa Masela walijua kutwanga Rap
 
Kuna mzuka unanijia nikisikiliza mchizi.kubaaabeki. kweli wakati
Kuna mzuka unanijia nikisikiliza mchizi.kubaaabeki
Kubaabeki. Nikimsikiliza mchizi kuna mzuka unanijia nakumbuka long fuckin nyokolo. R.I.P bro
 
Unaongea utopolo gani wewe bwenga!

Lets celebrate maisha ya Dogman X.

Anakwambia....

Either let me fly or give me death...
Let my soul rest, take my breath...
If I don't fly I'ma die anyway...
I'ma live on, but I'll be gone any day.
😂😂😂😂😂
 
Msanii wa hip hop mkongwe DMX aaga dunia baada ya kulazwa hospitalini kutokana na mshtuko wa moyo.
R.I.P. Legend!

DMX, the hardcore hip-hop star whose ominous, snarling raps chronicled the violence and struggles of the American street, has passed away at 50 yrs.
He died on Friday after suffering a heart attack on April 2, following an overdose at his home in White Plains, N.Y.
The Mayor of Yonkers wants to honour the rapper with a lasting gesture. ❤
He will be honoured in his hometown by having a street or statue named after him.

“That’s how rough riders roll” ~ DMX
 
Weng wanashindwa kutofautisha nymbo za dmx,sisqo .ginuwine na ludacris
Sijui kwann
Mbona dmx alikuwa tofauti kabisa na hao wengine?
Katika hao mfokaji ni ludacris ila vibe zake na mwendazake ni tofauti kabisa.
 
"Either let me fly or give me death
Let my soul rest, take my breath
If I don't fly I'ma die anyway
I'ma live on, but I'll be gone any day…"

DMX
 

Pole yake
 
Alipofungwa kule jela walilazimishwa kuvaa nguo za pink. Hilo lilimuumiza sana mwendazake kutokana na ujumbe unaobebwa na rangi hiyo.
Wagumu bwana[emoji1][emoji1]
 
ilikuwa inafanyikaje hiyo challenge kiongozi?😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…