sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Unaongea utopolo gani wewe bwenga!DMX yawezekana alikua rappa mzuri yaani maana ya freestyle,flows, but mashairi yake mepesi Sana
Nyimbo mwanzo Hadi mwisho Ni "niggas" ,fvcking" ,"shit" what the hell.
Ndio maana huwa wanfilisika wakishameki mkwanja .
Fatilia nyimbo za JayZ kuanzia 2010 kuja juu anaongea vitu sensible na lugha ya gheto kaipunguza ndio maana mziki wake unakubalika na kada zote sio ajabu kuwa bilionea wakati wenzeka analioanza nao gamu bado wanastrugle na unga,mademu,guns killing na makorokocho mengine
JayZ anaweza hata pewa podium/platform katika democratic convention atoe neno ,Ila watu dizaini ya akina DMX wale ambao full time wao Ni "niggaz" shit, fvcking hawawezi pewa.
Hip-hop Yao imekaa kigheto zaidi watu washahama huko Wana modernize hip-hop ndio kila siku wanachuku mi grammy.mfano JayZ ,Kanye west ,Drake, Kendrick Lamar na wengineo.
Niggaz should change.
Lets celebrate maisha ya Dogman X.
Anakwambia....
Either let me fly or give me death...
Let my soul rest, take my breath...
If I don't fly I'ma die anyway...
I'ma live on, but I'll be gone any day.