We nawe kwenda 😹Maisha sio fumbo.
Maisha yapo straightforward.
Ukishazaliwa tu, tayari umeingia kwenye hatua za kuelekea kifo.
Every breath that you take is a step you put forward towards death.
Death is peace.
Life is just a short break from not existing.
Tukisema wanaume ni wambea kuliko wanawake tunashukiwa kama mwewe...Ongeza nyama nyama Mkuu tujue chanzo
Leo kale ka emoji hujakaweka safi. Apumzike mdada mzuri, dunia njiaHaya maisha ni fumbo sote hatujui kesho yetu… 😥
RipMuigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Hawa almaarufu Carina amefariki Dunia akiwa Nchini India ambako alikuwa anapatiwa matibabu
Hawa alitarajiwa kurejea Leo Nchini Tanzania baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.
Anamiliki Carina ama vipi
Exactly 💯.She is now at PEACE.
Sio mabishano bali ndio uhalisia wa kila mwanadamu.We nawe kwenda 😹
Info leo tuna huzuni, mabishano siku nyingine mtu wangu..!! 😥
Alivyokua anateseka kitandani ndio huzuni,akishakufa huzuni ya nini sasa?We nawe kwenda 😹
Info leo tuna huzuni, mabishano siku nyingine mtu wangu..!! 😥
R.I.P kwake......hapa umenena kitu kikubwa sanaa hongera......naangalia jina mara mbili mbili kama siamini ni ww, hongera sana kumbe some times una busaraAmejitahidi kuwapa tumaini wanaomuuguza, mana angekua amejikatia tamaa nuru isingekuwepo usoni mwake..!!
Tupo msibani sitaki vita na mtu leo…!! 😹R.I.P kwake......hapa umenena kitu kikubwa sanaa hongera......naangalia jina mara mbili mbili kama siamini ni ww, hongera sana kumbe some times una busara
Mmetumana 😹Alivyokua anateseka kitandani ndio huzuni,akishakufa huzuni ya nini sasa?
Sasa kufa nani asiyejua km sote tutakufa?Sio mabishano bali ndio uhalisia wa kila mwanadamu.
SawaTupo msibani sitaki vita na mtu leo…!! 😹
😥 Hampendi amani kabisaa..!!Leo kale ka emoji hujakaweka safi. Apumzike mdada mzuri, dunia njia
Ni yule aliyeimba na daimond wimbo wa nitarejea?