Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau,

Mwanafunzi wa UDSM kutoka department ya Creative Arts maarufu kama Plaboe ametangazwa best student katika mahafali ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam ya mwaka 2023.

Kijana huyo ameongoza kwa kupata First Class GPA ( 4.8) ambayo ni ya juu kuliko wanafunzi wote UDSM.

Amesoma Bachelor of Arts in Music

GPA hiyo ameipata kwa kujua kupiga kinanda vizuri

Kujua kuimba live na kucheza vizuri

Kupiga Guitar vizuri, saxophone na music instruments zingine

Pamoja na kuwa mburudishaji mzuri kwenye events zinazoendeshwa na udsm department ya creative arts.

Hii inaonesha udsm na wao ni wametambua kwamba dunia imebadilika. Vitu vyepesi vya kuimba na kudance dance ndio vinapendwa na kizazi cha 2000 maarufu kama generation Z.

Best student alivyotangazwa ameshangiliwa na wahitimu wotee maana wanamjua balaa lake akiwa jukwaani.

Amepewa ufadhili wa masters. Na zawadi zingine.

Department ya creative arts ndiyo aliyopita chawa maarufu MWIJAKU , Rapper Chemical na wengineo


Your browser is not able to display this video.
 
BA Music Kwa nn usipate A?

Tumpe heshima yake maana Hiyo degree hajasoma peke yake darasani.

Na pia haijaanzishwa jana wala leo.

Kama ni rahisi mbona wengine hawajapata hizo A kama zake.

Kujua kupiga kinanda ni taaluma kubwa ambayo hujifunzi miaka mitatu.

Nahisi huyu dogo aliingia chuo akiwa tayari anajua piano.. ndio maana ikawa rahisi kwake kubutua A za kutosha.

Maana mziki asilimia kubwa upo kwenye Piano
 
Juhudi za mkuu wa Chuo Jakaya Kikwete zinapelekea fani ya sanaa kukubalika kwa academician.

Tumseme kwa mabaya
Tumpongeze kwa mazuri
 
Unaongea nn Sasa? Hapo UDSM course za FPA/creative arts mteremko tu.
 
Ha
Hao wapiga drums na saxa wamepata GPA ya ngapi
 
BA Music Kwa nn usipate A?
si ndo apo ya kupendeza tu GPA inasoma mm huku nikijosea hata spelling nazungushiwa duara, inamaana kama ni swali moja niki misconcept tu mask 20 sina mpaka hapo A ndo kwaeri, sasa huyu kuimba imba na xaxphone si anasa izo, hakati kuna watu huku kwenda kula tu wanaona wanapoteza muda module za moto mbaya
 
Kozi za Music wewe utake usitake A lazima
 
Tuongezee wimbo mwingine ni ngumu kurate uimbaji wake kwa huo wimbo.
 
kikubwa someeni mnavyoviweza enzi za kusoma kozi fulani sababu inalipa vizuri mara ndo unayopata boom zimefika mwisho......nje huko watu wanasoma makozi magumu na bado wanakula hepi huku bongo kuta tu mtu anasomea udaktari unadhani kama anaenda vitani.....wizara imeona kitu kufumua huu mfumo wa elimu maana ulikua unaandaa mazombi tu
 
Huyo aliyesomea Music ndio nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…