High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Tofauti na masomo ya ku share na course nyingine hawana masomo ya maana yoyote embu niambie ni kipimo gani kinatumika kumpa mtu mpiga gitaa au kinanda GPA au kipimo ni ku sample nyimbo za wasanii na kuzirudia kuziimba? Wale hawana masomo ya theory wale wana practice usanii
Yani kupiga kelele tu una A😂 🙌Wabongoooooo TUPO VIZURI.
Mbongo ili aku - appreciate basi umeze moto.
Kumbe uchawi wa kupondana kazini umetoka mbaliii. No appreciation always "Mbona rahisi hata Mimi naweza"
#YNWA
Mkuu hujanielewa ngoja nikueleweshe hivi unajua mtoto wa miaka 4 kuendelea unaweza kumfundisha kupiga gitaa na kinanda vizuri kabisa akawa na kipaji kikubwa tuu? Masomo yote hapo ni practical mfano hiyo introduction to Afrika dancing inamana kucheza ngoma za asili sasa kwa akili za kawaida mtu yoyote si anaweza kucheza ngoma za asilia.
UNGESEMA TU AMETANGAZWA MWANAFUNZI BORA WA department ya Creative Arts UDSM.
Wewe umeandika kama vile ni mwanafunzi bora wa chuo kizima (Overall) kitu ambacho sioni kama ni sawa.
Hii ni sawa na kulinganisha pass mark za mwanafunzi wa KLF/HKL na wanafunzi wanaosoma PCB/M au pengine ni sawa na kulinganisha karanga na mahindi wakati kila kimoja kina simama cheyewe
unawezaje kuwa na mwanafunzi bora mmoja overall wakati; wengine wanasoma uvuvi, wengine engineering, wengine ualimu, wengine librarian? doesn't make sense.Taja wewe mwanafunzi bora ni nani ? Na amepata gpa ya ngapi.
Maana unabisha bila kuweka ushahidi wako.
unawezaje kuwa na mwanafunzi bora mmoja overall wakati; wengine wanasoma uvuvi, wengine engineering, wengine ualimu, wengine librarian? doesn't make sense
Ili uwe na mwanafunzi bora mmoja, lazima kipimo cha kuwapimia kiwe kimoja (kiwe sawa) sasa hapo kila Idara imepima wanafunzi wake kivyake; simply haiwezekani
Uhalisia Udsm ina undergraduate degree program zaidi ya 80.
Hivyo ukisema kila kozi mwanafunzi bora wake atajwe peke yake na kupewa zawadi maana yake watu 80 wataitwa mbele kwenye graduation na kupewa zawadi .
Huwaga wanatangaza overall best student yaani aliewapita watu wa kozi zote kwa gpa.
Chuo kikuu kinatazama GPA.
Huyo dogo wa creative arts kafikisha GPA 4.8 ambayo ni kubwa kuliko wanafunzi wa kozi zote zaidi ya 80.
Ndio maana kapata nafasi ya kuitwa mbele na kupewa zawadi na Mkuu wa chuo Kikwete.
Kikwete hawezi kuita watu 80 wa kila kozi. Anaitwa aliyeburuza kozi zote
Kwa ufahamu wangu Arts huwa wanatoa best student na Sciences pia, hivyo huyo ni wa wanaosoma Arts pekeeCoet, udbs,conas etc chali
Sawa bwana japo wakiendelea na huo utaratibu (ambao sioni kama ni sawa) kozi zingine hazitakuja kutoa mwanafunzi bora hadi Yesu arudi au labda chuo kifanye tu maarifa kwa ajili ya kuhamasisha watu wasome...
Yes ni Overall wa kozi za arts, maana huwa kuna best wa aina mbili wanaosoma Arts na sciences huwa wanatenganishwa lakini bila kujali as long as ni kozi za arts na anaweza kutokea katika fani yoyote, mfano tumeona miaka kadhaa iliyopita alipatikana kutokea department ya Kiswahili etcUNGESEMA TU AMETANGAZWA MWANAFUNZI BORA WA department ya Creative Arts UDSM.
Wewe umeandika kama vile ni mwanafunzi bora wa chuo kizima (Overall) kitu ambacho sioni kama ni sawa.
Hii ni sawa na kulinganisha pass mark za mwanafunzi wa KLF/HKL na wanafunzi wanaosoma PCB/M au pengine ni sawa na kulinganisha karanga na mahindi wakati kila kimoja kina simama cheyewe
HV s alipewaga degree ya heshima hapo udsm idara hyo hyo ya creative art nakumbuka kitu Kama hcho enzi tunasoma coetDiamond Hana hata cheti cha form4 (leaving certificate) Ila anaburuza. Vyuo vikuu aisee
Jk alitazame hiliIfike pahala kila college iwe inatoa mshindi wake wa GPA kubwa
Hivi kweli mtu wa CoET ashindanishwe kwenye GPA na wa COHU (Department of Creative Arts)