umaarufu unakuja na pressure na expectations kubwa sana kutoka kwa jamii inayomzunguka msanii, sasa wakishindwa kuishi kuendana na huo umaarufu wao ndio wanakua frustrated na kukimbilia kujipooza na madawa ya kulevya
utakuwa unawapa habari wadaku kila siku, mwisho wa siku ule udaku unawekewa na chumvi na watu wanaamini, unakuumiza na unaathiri na kazi yako hadi unawaza ningejua nisingeruhusu mtu kujua nilivyo kiuhalisiaNingeishi kutokana na uwezo ili kusadifu yaliyomo
Mfano me ninajua kabisa uwezo wangu mdogo, napanga tu room yangu self contained, kagari kangu kakawaida, nikiingia nimeingia nikitoka nimetoka, tena napunguza mishemishe zisizo za kazima, namtafuta dereva tax wangu kama nikitaka kubadilisha gari, pia kila ninachokipata nakitumia kwa akili, mademu najua watanitaka wenyewe tu, akijileta analiwa tena gharama aingie mwenyewe sababu gheto kwangu hakuna kuingia kijingajinga, shida nn mkuu nikicheki tv ni news na vipindi vya kujenga, magazeti sinunui ya udaku na pia nawapiga beat washikaji sitaki kuhadithiwa utumbo wwte ulioandikwa kuhusu mimi, nakuwa busy kuandaa project zangu, stress zinatoka wapi hapoutakuwa unawapa habari wadaku kila siku, mwisho wa siku ule udaku unawekewa na chumvi na watu wanaamini, unakuumiza na unaathiri na kazi yako hadi unawaza ningejua nisingeruhusu mtu kujua nilivyo kiuhalisia
you making it look very easy lakini kiuhalisia haipo hivi, kuna makundi na makundi ya washiaji watakua wanakujia home, waandishi wa habari, utajaribu kuwaepuka ila mwishoni utakubali tuMfano me ninajua kabisa uwezo wangu mdogo, napanga tu room yangu self contained, kagari kangu kakawaida, nikiingia nimeingia nikitoka nimetoka, tena napunguza mishemishe zisizo za kazima, namtafuta dereva tax wangu kama nikitaka kubadilisha gari, pia kila ninachokipata nakitumia kwa akili, mademu najua watanitaka wenyewe tu, akijileta analiwa tena gharama aingie mwenyewe sababu gheto kwangu hakuna kuingia kijingajinga, shida nn mkuu nikicheki tv ni news na vipindi vya kujenga, magazeti sinunui ya udaku na pia nawapiga beat washikaji sitaki kuhadithiwa utumbo wwte ulioandikwa kuhusu mimi, nakuwa busy kuandaa project zangu, stress zinatoka wapi hapo
Ukijipanga inawezekana tu, waandishi wa habari waje tu na sitaficha kitu mkuuyou making it look very easy lakini kiuhalisia haipo hivi, kuna makundi na makundi ya washiaji watakua wanakujia home, waandishi wa habari, utajaribu kuwaepuka ila mwishoni utakubali tu
There you are.Tatizo wanaigiza maisha hawa jamaa, mwisho wa maigizo ndo huu ss
ze my yuuu..... dont no hingrishey?Ze Ngadaz hapana chezea.
Hata baada ya kuwaona wote hawa.....beats me!Utakuta mwingine anaenda kuanza kuvuta Leo
whiteney houston, wine house, mary j blige, T.I. lil wayne eminem n.k nao ni wa majuu.Daaaa uyu demu masikini aisee kawa kama kizee sura haieleweki alaaniwe anae tengeneza na wanao sambaza hii midude nyie wasanii ishini maisha yenu msiige ya ugaibuni mtakwenda na sembe wotee