Muislam wa wake wawili akiokoka wake zake inakuwaje

Annonymous

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
688
Reaction score
1,126
Habari hapa jamvini
Leo kuna jambo limekuja kichwani naona majibu yanaonesha wengi wataenda motoni

Hivi muislam mwenyewe wake wa4 akaokoka. Wale wake zake wote wa4 anawapeleka wapi kwsbb kwa mujibu wa mafundisho ya wakristo mke n mwisho mmoja na ni wakufa na kuzikana. Je wale wa3 waliobakia na watoto wao ndio watakuwa single mother na watoto wa mitaani au kuna kipande kwenye ukristo kimenyamaziwa cha jinsi ya kufanya mambo yaende hii familia isiteseke
 
Kweli kuna muislamu anaweza kuokoka!! au wale wanao tafuta maisha kwa kujifanya ni waislamu kumbe hawana Tawheed nyooni mwao.
 
Hakuna kosa wala dhambi kuoa mke zaidi ya mmoja,msiwe wa puuzi hivyo.

Akiokoka ruhusa pia kuongeza wegine.
 
Anafanya malipizi anabaki na Mke wa kwanza wa ujana wake aliyekuwa naye kabla hajaoa mke wa pili na watatu.
Ndiyo kusema anawaacha hao wengine.
Na huyo mke wa kwanza asiwe aliolewa akaachokika kwa mmewe halali.
Ndoa halali mbele za Mungu ni Mme mmoja na Mke mmoja kama ilivyokuwa mwanzo.
 
Kweli kuna muislamu anaweza kuokoka!! au wale wanao tafuta maisha kwa kujifanya ni waislamu kumbe hawana Tawheed nyooni mwao.
Nakusisitiza tena kitu kama wewe unadhani hukiwezi wapo wenzako wanakiweza,namfahamu mwenzako mwaka 2009 alitoka msikitini ijumaa kama leo jumapili akaamkia Kanisani na watoto kubatizwa.

Tena alikuwa swala tano ambazo wewe unayejifanya kushangaa huzisali,japo wake wake walikataa (alikuwa nao wawili) baadae mmoja ambaye ndiye mkubwa akakubali maisha yanaenda.
 
Nakusisitiza tena kitu kama wewe unadhani hukiwezi wapo wenzako wanakiweza,namfahamu mwenzako mwaka 2009 alitoka msikitini ijumaa kama leo jumapili akaamkia Kanisani na watoto kubatizwa.

Tena alikuwa swala tano ambazo wewe unayejifanya kushangaa huzisali.
Huyu alikua mpelelezi nakuapia hamna muislamu anae jua na kuelewa Tawheed akaokoka haliwezekane, nisawa sawa na kuseme mtu ana badilika au anatamani kua ng'ombe
 
Unaposema hakuna wewe upo mioyoni mwao?upo akilini mwao?unawaza wanayowaza wao?kila kitu kuna namna watu wanakichukulia kwa ufahamu wao siyo kwa sababu wewe unaona huwezi kuokoka basi wote wasiweze.

Dunia hii asichoweza kubadilisha mtu ni wazazi na kabila tu hizo dini wanabadilisha kama mtu anavyobadili nguo akiamka akili ikiwa imeelewa zaidi upande huu anabadili shida huwaoni wamebadili kwa sababu huwa wanatengwa na ndugu but wengi wanakuwa humo kama midoli kuongeza idadi ya waumini lakini mioyo yao inakuwa kwengine.
 
Habari hapa jamvini
Leo kuna jambo limekuja kichwani naona majibu yanaonesha wengi wataenda motoni

Hivi muislam mwenyewe wake wa4 akaokoka. Wale wake zake wote wa4 anawapeleka wapi kwsbb kwa mujibu wa mafundisho ya wakristo mke n mwisho mmoja na ni wakufa na kuzikana. Je wale wa3 waliobakia na watoto wao ndio watakuwa single mother na watoto wa mitaani au kuna kipande kwenye ukristo kimenyamaziwa cha jinsi ya kufanya mambo yaende hii familia isiteseke
Akiokoka au akibadili dini na kuwa MKRISTO?!
dhana ya kinachoitwa kuokoka ni potofu.
 
Habari hapa jamvini
Leo kuna jambo limekuja kichwani naona majibu yanaonesha wengi wataenda motoni

Hivi muislam mwenyewe wake wa4 akaokoka. Wale wake zake wote wa4 anawapeleka wapi kwsbb kwa mujibu wa mafundisho ya wakristo mke n mwisho mmoja na ni wakufa na kuzikana. Je wale wa3 waliobakia na watoto wao ndio watakuwa single mother na watoto wa mitaani au kuna kipande kwenye ukristo kimenyamaziwa cha jinsi ya kufanya mambo yaende hii familia isiteseke
Anachukua 1 hao watatu anamwachia mchungaji wa kanisa husika, ni kondoo wanarudi zizini, mchungaji ataamua ale au auze
 
Back
Top Bottom