Wengi ukielewa na kuusoma hasa Tawheed kuacha uislamu sio jambo dogo, labda kama iliingia kwasbb zisio za msingi kama kuoa, kazi, wazazi, Riziki, mkumbo, nk. Muislamu yoyote dua yake ya kila siku ni kuomba " Hoh Mola wangu nilinde katika dini yangu na almauti anikute nikiwa bado Muislamu ...." sasa mtu mwenye dua hiyo tena kwa hiari abadili hiyo Dini yake?......Unaposema hakuna wewe upo mioyoni mwao?upo akilini mwao?unawaza wanayowaza wao?
Dunia hii asichoweza kubadilisha mtu ni wazazi na kabila tu hizo dini wanabadilisha kama mtu anavyobadili nguo akiamka akili ikiwa imeelewa zaidi upande huu anabadili shida huwaoni wamebadili kwa sababu huwa wanatengwa na ndugu but wengi wanakuwa humo kama midoli kuongeza idadi ya waumini lakini mioyo yao inakuwa kwengine.