Muislam wa wake wawili akiokoka wake zake inakuwaje

Habari hapa jamvini
Leo kuna jambo limekuja kichwani naona majibu yanaonesha wengi wataenda motoni

Hivi muislam mwenyewe wake wa4 akaokoka. Wale wake zake wote wa4 anawapeleka wapi kwsbb kwa mujibu wa mafundisho ya wakristo mke n mwisho mmoja na ni wakufa na kuzikana. Je wale wa3 waliobakia na watoto wao ndio watakuwa single mother na watoto wa mitaani au kuna kipande kwenye ukristo kimenyamaziwa cha jinsi ya kufanya mambo yaende hii familia isiteseke
Hata mke mmoja tu , mmoja wa wanandoa akitoka kwenye uislam automaticaly ndoa imekufa.
 
Habari hapa jamvini
Leo kuna jambo limekuja kichwani naona majibu yanaonesha wengi wataenda motoni

Hivi muislam mwenyewe wake wa4 akaokoka. Wale wake zake wote wa4 anawapeleka wapi kwsbb kwa mujibu wa mafundisho ya wakristo mke n mwisho mmoja na ni wakufa na kuzikana. Je wale wa3 waliobakia na watoto wao ndio watakuwa single mother na watoto wa mitaani au kuna kipande kwenye ukristo kimenyamaziwa cha jinsi ya kufanya mambo yaende hii familia isiteseke
Hakuna mafundisho ya mkemmoja Kwa wakristo Bali mapokeo ya viwanda ya 1800 !!

Wakristo wenye mitara walikuwepo enzi za paulo mtume ndio maana alisema wazi atakae KAZI ya ushemasi,uaskofu n.k ataka kazi njema askofu anapaswa awe mume wa make mmoja !kwa maana walikiwepo washirika wenye wake wengi kanisani!!

Kujibu swali lako hapo juu wote wanaendelea kuwa wake zake na anaishi nao!!

Sababu ya kuwa na make mmoja ni uchumi tu kuwa mmbaya!wenye hela wengi Wana wake zaidi ya mmoja Tena wanakua kama michepuko au mahawara was kudumu coz dini ya kikristo zimewabana sana!
 
Habari hapa jamvini
Leo kuna jambo limekuja kichwani naona majibu yanaonesha wengi wataenda motoni

Hivi muislam mwenyewe wake wa4 akaokoka. Wale wake zake wote wa4 anawapeleka wapi kwsbb kwa mujibu wa mafundisho ya wakristo mke n mwisho mmoja na ni wakufa na kuzikana. Je wale wa3 waliobakia na watoto wao ndio watakuwa single mother na watoto wa mitaani au kuna kipande kwenye ukristo kimenyamaziwa cha jinsi ya kufanya mambo yaende hii familia isiteseke
KUOKOKA, ni jambo kubwa. Ni kukutana na Kristo. akitokea mtu kama huyo uliyemtaja hapo, atakachokifanya ni kutoa mke mmoja kati ya hao unaewaita kuwa wake zake. Maana kiKristo ni kuwa alikuwa akizini nao tu. Ataendelea kuwatunza watoto waliopatikana katika zinaa yake hiyo na wataendelea kuhesabika kuwa ni watoto wake (maana wao hawako na hatia yeyote)

Halafu atakuwa "kiumbe kipya" tazama ya kale yamepita, yamekuwa mapya! 2KOR 5:17

“Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya."

— 2 Wakorintho 5:17 (Biblia Takatifu)
 
Anafanya malipizi anabaki na Mke wa kwanza wa ujana wake aliyekuwa naye kabla hajaoa mke wa pili na watatu.
Ndiyo kusema anawaacha hao wengine.
Na huyo mke wa kwanza asiwe aliolewa akaachokika kwa mmewe halali.
Ndoa halali mbele za Mungu ni Mme mmoja na Mke mmoja kama ilivyokuwa mwanzo.
Mbona mfalme Daudi alikuwa na wake wanne? Na sijaona kwenye biblia Mungu akimgombeza Daudi kwa ajili ya kuona wake wengi!? Tena baada ya kumchukua Mke wa Huria, Mungu alimwambia imetenda kosa kumchukua Mke wa Huria! sio imetenda dhambi kwa kuoa wake wengi!!
 
Katika Mpango wa Mungu tangu Mwanzo ilikuwa Mme mmoja na Mke mmoja,(Mwanzo2:21-24)
Mara baada ya Adamu kuanguka katika dhambi Wanadamu wakajichukulia wake wo wote wanaowataka mpaka Yesu Kristo alipokuja kutengeneza Upya na kurejesha Amri ile ile ya Mme mmoja na Mke mmoja kama ilivyokuwa Mwanzo,(Mathayo19:1-7)
Kabla ya Matengenezo mapya Mungu alichukuliana nao! Lakini baada ya Yesu kuja Mungu haruhusu kuoa zaidi ya Mke Mmoja.
 
Uko sawa kabisa watu wanabadiri Hadi jinsia iwe dini Tena uislamu! Nimemtajia jamaa mmoja alikuwa ostadhi hapo dar Hadi Sasa ni msabato kabatiza watu kibaoo wa wakiwamo waislamu kumzidi hata yeye.
Anajiona wapo perfect sana,hajui anachokiona yeye kizuri mwenzake anakiona hakina maana hata akiamua kuki-practice kinafiki hajisikii amani that's why wapo wanaobadilika.
 
Abaki wa kwanza mwingine ni dada yake, amuhudumie tu kwa sababu ya watoto sio kukaa nae au tendo
 
Habari hapa jamvini
Leo kuna jambo limekuja kichwani naona majibu yanaonesha wengi wataenda motoni

Hivi muislam mwenyewe wake wa4 akaokoka. Wale wake zake wote wa4 anawapeleka wapi kwsbb kwa mujibu wa mafundisho ya wakristo mke n mwisho mmoja na ni wakufa na kuzikana. Je wale wa3 waliobakia na watoto wao ndio watakuwa single mother na watoto wa mitaani au kuna kipande kwenye ukristo kimenyamaziwa cha jinsi ya kufanya mambo yaende hii familia isiteseke
Anaache aliyekuwa wa mwisho kuolewa naye..wa kanza anabaki naye.
 
Hii thread imekimbia hadi page 3 na bado hakuna jibu. Mimi nafikiri dini zingedili na masuala la mungu haya maswala ya tamaduni waachiwe wangoni na tamaduni zao, Wasukuma na zao, Wadigo na zao, Waisrael na zao, kwasababu suala la wake wengi ni la kijamii zaidi sidhani kama linahusiano na umungu.
Ingekuwa hivyo kila jamii na tamadauni zao jibu lingepatikania kwenye comment ya 2 au 3
 
Anafanya malipizi anabaki na Mke wa kwanza wa ujana wake aliyekuwa naye kabla hajaoa mke wa pili na watatu.
Ndiyo kusema anawaacha hao wengine.
Na huyo mke wa kwanza asiwe aliolewa akaachokika kwa mmewe halali.
Ndoa halali mbele za Mungu ni Mme mmoja na Mke mmoja kama ilivyokuwa mwanzo.
Kwamba akina mfalme Suleyman et-al wote moroni?
 
Habari hapa jamvini
Leo kuna jambo limekuja kichwani naona majibu yanaonesha wengi wataenda motoni

Hivi muislam mwenyewe wake wa4 akaokoka. Wale wake zake wote wa4 anawapeleka wapi kwsbb kwa mujibu wa mafundisho ya wakristo mke n mwisho mmoja na ni wakufa na kuzikana. Je wale wa3 waliobakia na watoto wao ndio watakuwa single mother na watoto wa mitaani au kuna kipande kwenye ukristo kimenyamaziwa cha jinsi ya kufanya mambo yaende hii familia isiteseke
Mbona jibu lipo kwenye biblia ila wslokole na madhehebu ya dini ya sasa wanapotosha watakuambia waache wake zako ....ukweli ni kwamba utaendelea nao kama ilivyo labda wale wanawake wao ndiyo waondoke wenyewe
 
2pe mstari mtu wangu tusome isijekuwa na ww umesema kitu hakipo
 
Kasome daudi alipo kasirikiwa na mungu kwa sababu ya mke wa mtu (uria) sikumbuki jina vizuri ukisoma utaona mungu anawatambua wake wengi wa daudi na kumwambia angeweza kumwongeza..yesu alipo kuja kulikuwa na torati ambayo watu walioa wake wengi na mungu kuwalidhia soma yakobo nk...hivyo yesu akusema aliye na wake wengi awaache na kubaki na mmoja bali asiye na mke kama akioa basi na haoe mke mmoja ...pia alipendekeza kuto kuoa au kuolewa kabisa kama mtu ataweza
 
Mungu aliumbwa mume na mke hakuumba mume na wake
Kumbuka Pia Mungu hakuwaumba wanaume alimuumba mwanaume 1 na hakuwaumba wanawake alimuumba mwanamke 1. Hao wengine waliongezeka ndiyo maana mwanaume anaweza kuoa mwanamke zaidi ya mmoja.
 
Back
Top Bottom